Recent content by MKONOWADHAMBI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijaona tofauti ya Kikwete na Magufuli

    HATA HUKO UJERUMANI KATIKA HISTORIA YAO KIONGOZI WAO MKUU WAKATI HUO ALIITWA ADOLF HITLER KATIKA MATAIFA MENGINE NA WAPINZANI WAKE WA UTAWALA WAKE KATIKA TAIFA HILO WALIMUONA HAFANYI LOLOTE KUISAIDIA NCHI YAKE LAKINI HADI LEO UJERUMANI INAMUONA HITLER KAMA SHUJAA, KUWENI NA SUBIRA NA TUBADILIKE...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    1 Nasema ukweli mtupu; nimeungana na Kristo nami sisemi uongo. Dhamiri yangu ikiongozwa na Roho Mtakatifu inanithibitishia jambo hili pia. 2 Nataka kusema hivi: nina huzuni kubwa na maumivu yasiyopimika moyoni mwangu 3 kwa ajili ya watu wangu, walio damu moja nami! Kama ingekuwa kwa faida yao...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai trei Tshs.6350/

    Na mimi nahitaji
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Kambi Rasmi ya Upinzani kuhusu uamuzi wa MCC kusitisha mahusiano na Tanzania

    Haya mambo hayajawa kamili kimaandishi kati ya bodi ya Wakala wa MCC, angalizo; NAISHAURI SERIKALI YA AWAMU YA TANO IFANYE HAYA; 1. ITOE ELIMU KWA WATANZANIA WOTE WAJITAMBUE NA WRUDISHE UZALENDO KWA TAIFA LAKO NDIO MAANA CHADEMA WALISISTIZA SANA ELIMU ELIMU ELIMU, UNAWEZA UKAWA NA ELIMU ILA...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mambo Kumi yalomshinda Rais Magufuli

    SAFIIIIIIII SANA BWANA ZITO KABWE KWA KUMKURUPUSHA RAIS ILI ASISINZIE, NDO MAANA KWENYE SUKARI AMEISHA KUJIBU NA HAYO MENGINE YAMEAZA KUFUATILIWA HOPE MAMBO YATAKAA SAWA TUSHIRIKIANE KUMKURUPUSHA AFANYE MAMBO FASTA
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amfuata Lipumba

    tunahitaji mabadiliko, lowasa ni mtanzania kwa nini abaguliwe? Ccm ni wabaguzi ukawa ni wa upendo na amani. Ukawa woyeeeeeeeeeeee mabadiliko ni lazima na mabadiliko ni sisi tujitokeze kuhakiki taarifa zetu kwenye daftari la kudumu la mpiga kura.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amfuata Lipumba

    tunahitaji mabadiliko, lowasa ni mtanzania kwa nini abaguliwe? Ccm ni wabaguzi ukawa ni wa upendo na amani. Ukawa woyeeeeeeeeeeee mabadiliko ni lazima na mabadiliko ni sisi tujitokeze kuhakiki taarifa zetu kwenye daftari la kudumu la mpiga kura.
  8. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA wanamvizia Lowassa atoswe CCM wamchukue

    Crime does not pay ... as well as politics.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye ushahidi wa dhahiri juu ya ufisadi wa Lowassa aweke hapa hadharani! Tuache porojo!

    viongozi wa ccm hakuna asiye mla rushwa ni sawa na kwenda leba ukatafute bikra
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa afunguka, awataka wanaomchafua kujitokeza wazi

    HUYU BWANA MVI AMEKARIBIA KUFA:cheer2::crying::crying::crying:
Back
Top Bottom