Babati Yetu
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 374
- 120
Toka uwaziri mkuu mpaka upinzani itachukua muda na jambo ambalo halitawezekana kwa mtazamo wangu.
Ka akili za viongozi wa UKAWA, hili linawezekana. Hawana kabisa mgombea Urais. Wanasubiri makapi toka CCM
Hilo dubwana lenu mtakufa nalo huko huko,huku hatuna dampo la uchafu
Wenye macho ya mbali wanaamini kusua sua kwa zoezi la kumteua mgombea uraisi UKAWA ni njia ya kumngojea Lowassa achujwe CCM kisha wao wamchukue kama mgombea wao wa uraisi kwani ameshajijenga na wakimchukua Lowassa watakuwa na uhakika wa kura nyingi toka ndani ya CCM.
Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
Lowasa jambazi la taifa c.c.m ukoo wa mazimwi hatuwezi pokea fisadi toka ukoo wa mafisadi!
Crime does not pay ... as well as politics.