Kuna baadhi ya sufuria za kupikia hutoa kemikali wakati wa kupika chakula nakuchanganyika hivyo kupelekea madhara kama kansa kwa mlaji, wajuzi tuwekeni sawa kwenye hili.
Nina matatizo mawili doctor ,1 sehemu ya koo inakwaruza sana nikimeza mate nahisi kuna michubuko ila sikohoi kuna kipindi nilikuwa siwezi kuongea sentensi ndefu nakwama,2 nina tatzo la chest nodules painless hili ni la mda mrefu, naomba kujua tiba yake
Nyumba ina vyumba 3 sebule, choo na bafu, maji umeme mazingira mazuri ipo Moshi kibosho mweka karibu na chuo cha wanyama pori na ipo pembeni mwa barabara iendayo mlimani Kilimanjaro usafiri wa daladala ni sh 1000 mpaka Moshi Mjini inachukua dakika 20 kufika.
Mmwenye kuhitaji tuwasiliane 0682896772
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.