Nyumba inapangishwa Kibosho Mweka

Nyumba inapangishwa Kibosho Mweka

Mkononi

Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
10
Reaction score
0
Nyumba ina vyumba 3 sebule, choo na bafu, maji umeme mazingira mazuri ipo Moshi kibosho mweka karibu na chuo cha wanyama pori na ipo pembeni mwa barabara iendayo mlimani Kilimanjaro usafiri wa daladala ni sh 1000 mpaka Moshi Mjini inachukua dakika 20 kufika.

Mmwenye kuhitaji tuwasiliane 0682896772
 
Picha weka bei ndio biashara inavyoenda. Maelezo yako hayatoshelezi tujifunze kufanya marketing za kueleweka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom