Recent content by Mkonongo

  1. Mkonongo

    JamiiForums Tanzania Vyama vya wafanyakazi ni makada wa CCM? Mbona mko kimya kwenye mafao mtu alipwe 25% baada ya miaka 60 ila mbunge analipwa 100%?

    Huu ni zaidi ya unyonyaji, yaani unafanya maamuzi ya pesa ambayo si yako, tena maamuzi yenye kumuumiza mwenye mali. Nadhani kuna kasoro sehemu, maana hata wakupaza sauti hatuwasikii katika hili.
  2. Mkonongo

    JamiiForums Tanzania Kumbe yawezekana: Chama tawala Cambodia chazoa viti vyote 125 vya Bunge

    Nakumbuka nikiwa shuleni, hii nchi tuliisoma kama mifano ya nchi maskini zaidi duniani. sijui kama bado hali yao iko hivyo ama walishapataga maendeleo.
  3. Mkonongo

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa kulinda amani kutoka Tanzania auawa Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Ooh! Happy to see your comment once again comrade, was somehow in tension. Welcome back!
  4. Mkonongo

    JamiiForums Tanzania Baba mwenye nyumba yajayo yanasikitisha

    Genius SONGOKA
  5. Mkonongo

    JamiiForums Tanzania Hivi walimu tumemkosea nini Mungu?

    Pole mamy
  6. Mkonongo

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Wapuuzi kivipi mkuu?
  7. Mkonongo

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Asante mkuu nimekuelewa kuhusu kuepuka utapeli, lakini hili la kutuma pesa kwa mtu wa mbali wanadai kuna makato kwenye kamisheni yako mwisho wa mwezi kulingana na thamani ya muamala.
  8. Mkonongo

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Heshima kwenu wanabodi, naomba kujuzwa ni 'distance' ipi wakala hatakiwi kumtumia au kumwekea mteja pesa(float)? Hili ni suala ambalo linanitatiza sana kwasababu hata ukiwapigia voda wenyewe hawakuambii zaidi ya kukujibu kuwa hutakiwi kumwekea mteja pesa kama hajaja na simu yake. Swali la pili...
  9. Mkonongo

    JamiiForums Tanzania Orodha ya kikosi kazi cha makamanda watakaoongoza kampeni kwenye majimbo ya Kinondoni na Siha

    Naam, this is what I adore!
  10. Mkonongo

    JamiiForums Tanzania Chagua Salum Mwalimu kwa Maendeleo ya wanahabari Tanzania

    Hahaahaaaa
  11. Mkonongo

    JamiiForums Tanzania Siku kama ya leo alizaliwa mwanasheria maarufu nchini Tanzania, Tundu Lissu huko Ikungi mkoani Singida

    Heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Njaghamba andoghwe!
  12. Mkonongo

    JamiiForums Tanzania Siku kama ya leo alizaliwa mwanasheria maarufu nchini Tanzania, Tundu Lissu huko Ikungi mkoani Singida

    Heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Njaghamba andoghwe!
  13. Mkonongo

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane: CHADEMA haina nguvu ya kushinda jimbo la Kinondoni

    Subiri Maalimu apande jukwaa la cdm kumnadi mwalimu ndio utajua kuwa mnapigwa mapemaa.
  14. Mkonongo

    JamiiForums Tanzania Tuongee asubuhi na Albert Msando! Mada: Hama hama ndani ya vyama vya Siasa. Je, ni kukua kwa demokrasia au ni rushwa?

    Kuwa na msimamo usioyumbishwa na vitu vidogo vidogo ni jambo la maana sana. Hili nalo litapita kama upepo and the strong ones will remain stronger!
Back
Top Bottom