Kichaa Msafi
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,090
- 2,141
wengi mtanidharau kutokana na aviatar yangu lakini watanzania mkae mkijua 2025 hakuna uchaguz wa rais not my worlds
Haaahhaa...sasa mnaambiwa kuwa mtu alivunja dirisha kisha mnashindwa kushangaa"" nijuavyo waliokuwa wana tabia kama hizo wengi wao walikuwa na sifa ya kuvuta bangi"""Aliishia tu kutuambia "alivunja dirisha katoke seminari", hatukuambiwa alivunja dirisha katika harakati za kutoka na nini au alikuwa anakimbia nini!
Leo ripoti ya CAG inabaini zaidi ya sh.bilioni 1,500/ zimetoweka bila ya vielelezo tunashangaa?Haya mambo ya kutokomea " chimbo na mazaga" huenda aliyaanza zamani sana.
!
!
!
Yajayo yatahuzunisha zaidi!
Songoko songoka unacho cheti cha kuzaliwa cha Babu yako lakini?
anamsema MKULUSijaelewa unataka kufikisha ujumbe gani. Ngoja wajuzi waje
Na mkojo kabisa.andaa vyeti vya kuzaliwa vya bibi na babu mzaa babu halafu huu ni uchochezi
Na usielewe tu hakiyanani....nimetoka kapa hapa hata sielewi
sawaNa usielewe tu hakiyanani....