Vyama vya wafanyakazi ni makada wa CCM? Mbona mko kimya kwenye mafao mtu alipwe 25% baada ya miaka 60 ila mbunge analipwa 100%?

Pesa zilizoko kwenye mifuko ya jamii ni mali ya wanachama kwa asilimia 100!! Cha ajabu wenye mali hawapewi haki ya kuwa na kauli ya mwisho kwenye hatima ya mali yao hiyo!!!! Mungu atatutetea, hii si sawa hata kidogo, hii si haki hata kidogo!!!!!! Walio nyuma ya kupokonya haki hii Mungu atawashughulikia mwenyewe maana yeye ni mtetezi wa wanyonge!!!!!!!
Mkuu akili umepewa na Mungu uitumie. Sidhani kama Mungu atashuka kuwaadhibu wahusika kama unavyofikiri wewe
 
Ni wakati wa wafanyakazi kushikamana ili kulikabili hili. Kuwa muda wangu wa kustaafu ni miaka 10, 20, 25 au 30 ijayo nw hili halinihusu isiwe sababu ya kutoshikamana.
 
Ivi vyama vya wafanyakazi havina tofauti na wabunge wa ccm kwa sababu sheria inatungwa na ccm.na inapitishwa na ccm.

Hapa hata wapinzani wagalegale bungeni wengi watapitisha baada ya kugundua hakuna hela ishaliwa na serikali ya ccm.

Mifuko karibuni yote kuna mashimo baada ya kuikopesha serikali na serikali hailipi pesa kwa wakati ni serikali ya mikopo na madeni.

Kwa ufupi PPF ishajifia, Pspf ilikuwa inaelekea ICU, lapf ilibaki kidogo kuelekea huko pia na mwenzake NSSF ndio alibaki kidogo anapumua.

Kuona ivyo wakaanza hakuna fao la kujitoa wameenda weee wakagundua sio suluhu ya matatizo yao kwa sababu hawana hela za kurejesha hata wakikaa hadi miaka 55 au 60 hawataweza kuwalipa watumishi.

La maana wakaona kwanza wapunguze mafao mbali mbali kama ya afya, uzazi nk kwa mchangiaji.

Then wakaona wakikupa 100% ya mafao watafilisika maana serikali hailipi madeni wakaona waje na sheria ya kutoa 25% ili wabaki na 3/4 ya mafao wakulipe waonavyo wenyewe yaani hela ulikuwa unakatwa kwa ziaidi ya miaka 30 bado hawakupi yote na kukaa nayo wao.

Yaani sawa benki wakukopeshe ukae nayo miaka 30 na wewe unaamua namna ya kurejesha utakavyo.

Haya maviongozi ya wafanyakazi ni makada ya ccm ndio maana huyasikii yakisema lolote maana bwana mkubwa wao kawaweka kutimiza matakwa yake.

Wangekuwa ni kinyume chake ungeshasikia wanahitwa kuhojiwa ila kwa kuwa nao wanasubiri uteuzi huwezi wasikia.

Kuna haja ya kujitoa kwenye vyama vya wafanyakazi kila mmoja ajifie kivyake.

Ila CCM NI MUUWAJI
Hii kwakweli haijakaa vzr, na vyama hivi havina meno vipo vipo tu kutimiza sheria ila si kuwasaidia wafanyakazi
 
Pale mpiga kura anapomuogopa mpigiwa kura ndiyo haya huwa yanatokea. Wafanyakazi na watu walio nyuma yao (i.e wategemezi wao) ni voting block kubwa sana ambayo iwapo ingeungana kidogo tu ingeweza siyo tu kutetea maslahi yao bali pia kuamua mustakabali wa nchi. Ila tatizo hawajitambui kabisaaaaa mpaka imefikia wapigiwa kura wanajiona ni mabosi wao badala ya kuwa watumishi wao.
 
Ivi vyama vya wafanyakazi havina tofauti na wabunge wa ccm kwa sababu sheria inatungwa na ccm.na inapitishwa na ccm.

Hapa hata wapinzani wagalegale bungeni wengi watapitisha baada ya kugundua hakuna hela ishaliwa na serikali ya ccm.

Mifuko karibuni yote kuna mashimo baada ya kuikopesha serikali na serikali hailipi pesa kwa wakati ni serikali ya mikopo na madeni.

Kwa ufupi PPF ishajifia, Pspf ilikuwa inaelekea ICU, lapf ilibaki kidogo kuelekea huko pia na mwenzake NSSF ndio alibaki kidogo anapumua.

Kuona ivyo wakaanza hakuna fao la kujitoa wameenda weee wakagundua sio suluhu ya matatizo yao kwa sababu hawana hela za kurejesha hata wakikaa hadi miaka 55 au 60 hawataweza kuwalipa watumishi.

La maana wakaona kwanza wapunguze mafao mbali mbali kama ya afya, uzazi nk kwa mchangiaji.

Then wakaona wakikupa 100% ya mafao watafilisika maana serikali hailipi madeni wakaona waje na sheria ya kutoa 25% ili wabaki na 3/4 ya mafao wakulipe waonavyo wenyewe yaani hela ulikuwa unakatwa kwa ziaidi ya miaka 30 bado hawakupi yote na kukaa nayo wao.

Yaani sawa benki wakukopeshe ukae nayo miaka 30 na wewe unaamua namna ya kurejesha utakavyo.

Haya maviongozi ya wafanyakazi ni makada ya ccm ndio maana huyasikii yakisema lolote maana bwana mkubwa wao kawaweka kutimiza matakwa yake.

Wangekuwa ni kinyume chake ungeshasikia wanahitwa kuhojiwa ila kwa kuwa nao wanasubiri uteuzi huwezi wasikia.

Kuna haja ya kujitoa kwenye vyama vya wafanyakazi kila mmoja ajifie kivyake.

Ila CCM NI MUUWAJI
Huu ni msumari lazima upenye tu.
 
Inauma sana mkuu, Alafu utakuta mijitu imekazana CCM oyeee!!! Wakat mwngine mtu unajuta kuzaliwa Tanzania.
 
Kweli kabisa Tuico hovyo tucta Kuna jamaa anaitwa msigwa alishawahi gombea ubunge kura za maoni ccm iringa Mjini akapigwa chini ndio kawa kiongozi wa tucta
Yusuph Singo naye aligombea ubunge Same akashindwa kura ya maoni, kwa sasa ni Mkurugenzi wa michezo, Wizara ya Michezo na Habari. Naye alikuwa Mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi kinachoitwa THTU.
 
Ngoja mambo yaende hivyo hivyo tu,ili sasa ccm siku moja itoke madarakani,ili chama kitoke madarakani ninlazima kiboronge sasa kisipofanya mambo kama hayo ya kipumbavu kitatoka lini madarakani.kiendelee hivyo hovyo hata hiyo 25% kichelewe kutoa,kuongeza mishahara,na madaraja mwisho watumishi wao wenyewe nje ya vyama vyao ndo wataanza kujipigania hapo ndo moto utawaka.siku zote inakuaga hivyo.ni sawa na kusema vyama vya upinzani vinaweza kukitoa ccm madarakani ila ni wananchi wenyeww wa chini wakiamua baada ya maisha kua magumu
 
kama kuna dhambi awamu ya tano imejitakia ni hili la luzuia pesa za wanyonge,kinachonisikitisha wabunge wao wanabeba zao jumla jumla sisi walala hoi tunao fanya kazi sector binafsi na serikali wamezuia zetu .
nina wasi wasi sana na ile kaulimbiu inayosema serikali ya wanyonge hakuna kitu kama hicho,mtu kafanya kazi miaka 30 leo badala ya kumpa akiba yake unaizuia eti utampa kidogo kidogo hii sio haki hakabisa,kama serikali inachukua share yake kila mwezi (PAYE) sasa hiki change kidogo nacho kimekua kitamu tena jamani,huu ni wizi kweupee.
aya kuna hawa ndugu zetu wanao fanya kazi private sectors ,migodi na NGO ,hao nao serikali haijawaacha salama ,nao vijisenti vyao vimefyekwa kama kawa.this is so pathetic jamani,nawambieni death rates za wastaafu zitaongezeka maradufu,mtu kafikisha umri wa kustaafu mwingine juzi kazimia presha imepanda baada ya kusikia hapewi tena 70M zake wakati alikuwa ashajiandaa ajenge hoteli eneo alinunua zamani pale mwanza ,inauma sana.
 
Huu ni zaidi ya unyonyaji, yaani unafanya maamuzi ya pesa ambayo si yako, tena maamuzi yenye kumuumiza mwenye mali. Nadhani kuna kasoro sehemu, maana hata wakupaza sauti hatuwasikii katika hili.
 
Uzi kama huu wale fuata upepo hawatoi comments wanapita tu. Hakika hii ndio sirikali ya wanyonge.
 
Wabunge walitakiwa jambo ili walitetee bunguni.Kama wao wanapata mafao yao 100% kwa kipindi cha miaka 5 tu je yule mtumishi anaye anayetumikia taifa miaka zaidi miaka 30 anabakiza muda mfupi kufariki kwa nini apewe asilimia 25% tu ?
 
Pigeni kelele sna hadi jiwe awasikie yy kazi yake ni kutengeneza tatizo kisha anakuja kulitatu.Mkikaa kimya inakula kwenu.
 
Wafanyakazi hawana imani na mfumo huu mpya wa serikali .
Nahisi hii inahamasisha watumishi waishi, wajenge, wasomeshe na wajiwekee akiba kwa kubuni njia mbadala ambazo si rafiki kwa taifa.
Mfumo huu ukiendelea hapatakuwa na morale wa wafanyakazi na utachochea sana huduma mbaya na kuwaathiri wananchi moja kwa moja kwa kuwa mwenye nacho ndiye atapata huduma kwanza
 
Waandaaji wa sera kama hz wanatakiwa KUPIMWA MKOJO LABDA AKILI ZAO ZIMEKWENDA LIJOJO

Wazazi wao wamestaafu na wameshalipwa ila wazazi wetu ndio wanaodhurumiwa Lila MUNGU ANAWAONA NA MUNGU ANAJUA UNAFIKI UNAOFANYIKA NA HATA KAMA TUNATAKIWA TUWAOMBEE MTASUBIRI SANAAAA
 
Ivi vyama vya wafanyakazi havina tofauti na wabunge wa ccm kwa sababu sheria inatungwa na ccm.na inapitishwa na ccm.

Hapa hata wapinzani wagalegale bungeni wengi watapitisha baada ya kugundua hakuna hela ishaliwa na serikali ya ccm.

Mifuko karibuni yote kuna mashimo baada ya kuikopesha serikali na serikali hailipi pesa kwa wakati ni serikali ya mikopo na madeni.

Kwa ufupi PPF ishajifia, Pspf ilikuwa inaelekea ICU, lapf ilibaki kidogo kuelekea huko pia na mwenzake NSSF ndio alibaki kidogo anapumua.

Kuona ivyo wakaanza hakuna fao la kujitoa wameenda weee wakagundua sio suluhu ya matatizo yao kwa sababu hawana hela za kurejesha hata wakikaa hadi miaka 55 au 60 hawataweza kuwalipa watumishi.

La maana wakaona kwanza wapunguze mafao mbali mbali kama ya afya, uzazi nk kwa mchangiaji.

Then wakaona wakikupa 100% ya mafao watafilisika maana serikali hailipi madeni wakaona waje na sheria ya kutoa 25% ili wabaki na 3/4 ya mafao wakulipe waonavyo wenyewe yaani hela ulikuwa unakatwa kwa ziaidi ya miaka 30 bado hawakupi yote na kukaa nayo wao.

Yaani sawa benki wakukopeshe ukae nayo miaka 30 na wewe unaamua namna ya kurejesha utakavyo.

Haya maviongozi ya wafanyakazi ni makada ya ccm ndio maana huyasikii yakisema lolote maana bwana mkubwa wao kawaweka kutimiza matakwa yake.

Wangekuwa ni kinyume chake ungeshasikia wanahitwa kuhojiwa ila kwa kuwa nao wanasubiri uteuzi huwezi wasikia.

Kuna haja ya kujitoa kwenye vyama vya wafanyakazi kila mmoja ajifie kivyake.

Ila CCM NI MUUWAJI

Vyama vya wafanyakaz kwa sasa ni matawi ya CCM!
 
Back
Top Bottom