Recent content by Mkongwee

  1. Mkongwee

    JamiiForums Tanzania Vurugu ya middle east imekuwa kubwa sana

    Haya machafuko ya Russia Vs Ukraine Na Iran na maadui zake, yanafukua mengi ambayo zamani tulikua tukidanganywa Kabla ya vita kuna watu humu humu jamii forum ulikua huwaambiaa kitu kuhusu uwezo wa kijeshi wa America na Israel, huku wakikashifu kabisa uwezo wa Russia, China, Iran, North...
  2. Mkongwee

    JamiiForums Tanzania Iran yatishia kuishambulia Israel Je wataweza?

    Muajemi akiahidi tuu utekelezaji unafata Hawajawahi kudanganya
  3. Mkongwee

    JamiiForums Tanzania Marekani yafikwa na upungufu mkubwa wa silaha

    Samahani ndg, vita kamili ni ipi na hiyo wanayotwangana ni vita ipi??
  4. Mkongwee

    JamiiForums Tanzania Wanyonge wa Iran( Waarabu ) hatimaye wapatiwa silaha za kujilinda dhidi ya Iran

    Huyoo anaewalinda mwenyewe anabutuliwa vipi wanaolindwa
  5. Mkongwee

    JamiiForums Tanzania Trump: Tunaendelea na Mazungumzo mazuri na Iran

    Vp kama Iran ingekuwa imepakana na Marekani, hali ingekuwaje kwa Marekani? au Iran angekuwa anapigana na Israel peke yake bila kusaidiwa na taifa lolote, hali ingekuwaje kwa Israel?
  6. Mkongwee

    JamiiForums Tanzania Trump anajuta na kulia kuhusu Iran

    Msondo ngoma waliwahi kuimba " Ukiona mtu mzima.....analiaa mbeleee za watuuu ujuee kuna jamboooo"
  7. Mkongwee

    JamiiForums Tanzania Marekani imechapika hapo M.E mpaka Maafisa wa Marekani wanashuku kuwa China au Urusi huenda wanasaidia Iran

    Hahahahahahaha mwamba ww una IQ kubwa saaana, ila shida una deal na watu wenye uelewa mdogo mnoo, ndo maana kuna wengine tayari wameshahusisha dini kwenye andiko lakoo, unapoteza muda tuu kuwaelimisha
  8. Mkongwee

    JamiiForums Tanzania Iran inawezaje kufanya haya

    Uko sahihi Kwa kukazia tuu, wabongo wengi imani za kidini zimewafanya wamekuwa wajinga, ndo maana wengine wanatapeliwa kwa kutajiwa neno dini au Mungu Vita ni uchumi, watu au mataifa yanaingia vitani kwa ajili ya maslahi yao ya kiuchumi, ila huku kwenye walevi wa kidini wao chapchap...
  9. Mkongwee

    JamiiForums Tanzania Orchestra Maquis Original "ogelea piga mbizi" ilivyowatesa Watanzania

    "Nasi twazidi kung'arisha mapenzi yeeeetu... Dunia tumekuja wawili wawiliiiiii.... Kusaidiaaana ndio raha ya duniaaa.... Nyinyi mwakerwa na niniiiii yeeyeeee Kiitikio Yeye kanipendeeeena nami namupeeeeenda nyinyi mwakerwa na niniiiii" Baada ya hapo Adios Mbuya makonga akaanza kubonyeza...
  10. Mkongwee

    JamiiForums Tanzania Israel yawataka Iran warushe kombola kujibu ili wapate sababu ya kuanzisha Operation ya Blue-White wao peke yao

    Yaonesha hata taaluma ya kutwangana huna, bondia anakusoma palipo na udhaifu kwako kisha anagusa hapo hapo mwisho mwenyewe utakaa
  11. Mkongwee

    JamiiForums Tanzania Iran ijiandae kupigwa- Waziri wa Ulinzi wa Israel Katz

    Bila msaada wa America, hata jwtz anawakanda hao Israel
  12. Mkongwee

    JamiiForums Tanzania Hakuna jipya chini ya jua: Kinachomkuta Marekani nchini Iran kiliwahi wakuta watangulizi wake

    H hahahahahahaha daaaaaah nimecheka saaana
  13. Mkongwee

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani ameshindwa kuimaliza Iran haraka?

    Andiko lililooona mbalii, uliyotabiri yametokeaa kwa kiwango kikubwaa
  14. Mkongwee

    JamiiForums Tanzania Israel yaendelea kuishambulia Iran. Yataka Vita ianze au iendelee. Yapiga maeneo nyeti ya Kijeshi

    Hapo unamaanisha waathirika wa bei ya mafuta kupanda ni UVCCM tuu, ila ww hauathiriki kwa lolote?? Duuuuuh ebhana eeeeh
  15. Mkongwee

    JamiiForums Tanzania Trump: Bila mimi kusingekuwa na taifa linaloitwa Israel wakati huu

    Na huo ndo ukwelii, bila Marekan, Israel ni weupe kabisaa Kabla ya ukuaji wa technology ya habari tulikua tunadanganywa saana vijiweni Kuhusu Israel, ila kwa ss kila mwenye akilii anajionea ukwelii
Back
Top Bottom