Recent content by mkongoraa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Unyama Zanzibar: Kituo cha Redio Chachomwa Moto

    Nyie ndio mmejitakatisha ukilinganisha n.a. Wa Zanzibar????
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unyama Zanzibar: Kituo cha Redio Chachomwa Moto

    Kwani we we ndugu unafurahi san? unavyoona mapaja ya dada n.a. mama yako yakiwa wazi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Unyama Zanzibar: Kituo cha Redio Chachomwa Moto

    TAKBIR...........!!! bado yale mahotel ya watembea uchi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wataalamu wa computer

    Windows cannot be installed to the disk. The selected disk has an MBR partition t?ble. On EFI system, Windows can only be installed to GPT disks. Hiyo ndio message ninayoipata w?kati ni Install windows 8.
  5. M

    JamiiForums Tanzania First year Korogwe TTC hawajapewa mkopo/ruzuku

    Hivyo ndivyo hali ilivyo, vijana wanasoma stashahada ya juu(higher diploma) na mafunzo yote hapa yanaendeshwa kwa mfumo wa chuo kikuu academically yaani pindi linapigwa kisha notes ni gharama ya mwanachuo kununua handout. Ishu inakuja kwamba vijana waliahidiwa kupewa mikopo pamoja na ruzuku na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada notes za Mechanical Physics

    kama unaweza kunisaidia ambazo zipo kwa mfumo wa pdf.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    kwa kiwang hiki cha liverpl tutegemee majanga msimu huu...!!!
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Top 10 best Tanzanian love songs of all times

    nikupe nini mpenzi mandojo na domo kaya.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hakika Mungu yupo! leo alfajiri nimenusurika kifo kwa ajali mbaya ya gari

    kwa hiyo ungekufa basi mungu asingekuwepo...!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Movie za Bongo Siziwezi

    Kuangalia BONGO MOVIE ni bora uangalia TOM N JERRY mara 100000000000000.......!!!!! Sory kwa wadau
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbona Radio Nyingi Hazipatikani?

    Radio imani elimu bila mpaka haipatikani hapa jijini arusha toka jana.....!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Acheni KUMBWELA MASHABIKI MAANDAZI....Rogers ni bonge la kocha. Hivi unategemea nini wakati timu imenunua wachezaji zaidi ya tisa...inahitaji muda wachezaji hawa kuweza kuelewa mfumo wa kocha na kisha mambo yatakuwa safi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar tunaowaita urojo wamethubutu vipi nyie watanganyika....?

    kwa maelezo ya watu wengi hapo juu watanganyika wameridhika na rasimu ya sitta.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar tunaowaita urojo wamethubutu vipi nyie watanganyika....?

    ZANZIBAR tuanaowaita urojo yaani watu legelege wamethubutu kupiga japo kura ya hapana tena hadharani na tumeona jinsi mwanashria mkuu wa zanzibar alivyoonyesha msimamo wake na kupiga kura ya hapana. vipi sasa Watanganyika ambao mnajiona kwmba nyie ni ngangari vipi mbona kimya, mbona mnaburuzwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili kupunguza hasira?

    ka ma wewe ni muislam ukiwa na hasira kachukue udhu kisha pata rakaa mbili....yaani moyo wako utakuwa laini kabisa hasira zote zitapotea. ALLAH YAALAM.
Back
Top Bottom