Recent content by mkongo

  1. mkongo

    Msaada unahitajika,cheap international calls to Tanzania

    Mzee Mwenda_Pole jaribu www.smsdiscount.com
  2. mkongo

    Tatizo la maadili ya Gavana Ndulu na kisa cha Lazaro

    Nafasi ya kumpata huyo Dicteta tutaipata iwapo tutachangua mtu mwingine awe Rais. Hebu niambie Kikwete ambaye amemchagua huyo Ndullu amekaa kimya halafu eti anataka Kipindi cha pili. Atatufanyia nini? Kama si kuongeza wafujaji wa mali tena.
  3. mkongo

    Tatizo la maadili ya Gavana Ndulu na kisa cha Lazaro

    MM Gavana si anateuliwa na Rais? Sasa umefikiri nini kama mkulu mwenyewe amekaa kimya.
  4. mkongo

    Mafuriko:Vodacom waanza kampeni ya simu; kuchangia Vod. Foundation

    Hivi majuzi tumeshuhudia mpango wa vodacom wa kuchangisha fedha kutoka kwa wananchi kwaajili ya maafa. Sioni kama ni jambo baya lakini kwa mtazamo wangu hawakupaswa kuchangisha wenyewe kama vodacom. Vodacom kama vodacom inapaswa kuwachangia wananchi sawa na mwananchi mwingine ambaye wanamuomba...
  5. mkongo

    Vipaumbele vyetu ni nini…Nyumba ya Gavana (HAPANA)

    Tatizo la nyumba sio la Benki kuu peke yake. Watanzania wangapi wanapanga? Hawana uwezo wa kujenga nyumba. Na inawezekana kabisa kuna watanzania wengine wenye uwezo wa kufanya kazi Benki kuu lakini kwasababu nafasi hazitoshi na sio wote tutapata nafasi Benki kuu. Serikali ilitakiwa kuanzisha...
  6. mkongo

    Vipaumbele vyetu ni nini…Nyumba ya Gavana (HAPANA)

    Nimekuwa nikiangalia baadhi ya habari na imenisikitisha sana Uamuzi wa Gavana wa Tanzania kutumia fedha nyingi kukarabati/kujenga nyumba ya kuishi YEYE. Yaani kupewa tu nafasi hiyo anataka aishi nyumba ya kifahari. Je alikuwa wanaishi kwenye nyumba ya kifahari kabla ya kupewa cheo hicho...
  7. mkongo

    Mkapa awaliza wanakijiji Lushoto

    Vangi... hayo yote uliyoyataja alitakiwa kuyafanya. Si aligombea Urais mwenyewe na kuahidi kuwatumikia wananchi? Kwa kupewa nafasi ile alitakiwa ayafanye hayo yote... tena inawezekana kuna sehemu nyingine amezembea. Lakini ukiangalia upande wa pili wa shilingi alienda kufanya pia na yale ambayo...
  8. mkongo

    Taifa Tanzania lapinga sababu 51 za Kikwete kutogombea 2010!

    Mimi nina wasiwasi CCM au JK Mwenyewe amempa tenda huyu jamaa aandike kujaribu kuwasafisha lakini ukweli unabaki pale pale na UOZO WA CCM na viongozi wake unaonekana. KWANINI TUWACHAGUE TENA? Mkome kabisa!!!! Ondokeni madarakani tunataka nchi iendelee na sio baadhi ya watu wachache wa CCM.
  9. mkongo

    Ni aibu kwa JK kuendelea kuwa kimya kwa malalamiko yote haya ya wananchi

    Nafikiri umeshapata majibu Nyuki... acha kupenda utaona yote.
  10. mkongo

    JK Kuhudhulia ufunguzi wa Kibo Palace & Snow Crest Hotel Arusha

    Nimesikia kwamba zile za sumaye zimerudishwa serikalini halafu si unakumbuka jamaa aliondoka nchini kwenda kusoma ili kutupotezea.
  11. mkongo

    Ni aibu kwa JK kuendelea kuwa kimya kwa malalamiko yote haya ya wananchi

    Wajameni, Pamoja na kuvurunda serikali na mawaziri wake, hii ni pamoja na baadhi ya kauli za viongozi zinazotetea mafisadi... nimuweke JK kwenye nafasi gani? Hii inaonyesha moja kwa moja kwamba na yeye ni fisadi na anashirikiana na mawaziri wake kutetea usifadi. Sio lazima kugombea kipindi cha...
  12. mkongo

    Evaluate CCM... I give 0%

    Habari wakuu, Naomba tujaribu kukitathmini Chama cha Mapinduzi, Mimi nakipa 0% Kwasababu toka kimeanza ni miaka chungu nzima na hakikustahili kuwa hapa kilipotuweka. Toa tathmini yako kwa asilimia na toa sababu.
  13. mkongo

    Sababu 51 za Kikwete kutogombea 2010

    49. Anachagua viongozi kiuswahiba. 48. Ameshindwa kuwaajibisha mafisadi 47. Ameahidi uongo "maisha bora kwa kila mtanzania" 46. Anawatumikia watu wa nje ya nchi yake badala ya kuwatumikia wananchi ndiyo maana anasafiri nje ya nchi mara kwa mara
  14. mkongo

    Rais Kikwete's visit to Jamaica

    For those interested to know what the President JK addressed the parliament in Jamaica watch the video below. http://www.ustream.tv/recorded/2641002
Back
Top Bottom