Msaada unahitajika,cheap international calls to Tanzania

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Jul 5, 2008
281
66
Heshima mbele wanajamii

Ebwana natambua kunawadau wengi humu wapo nje ya nchi ( outside Tanzania) aidha kwa muda mrefu ama kwa kipindi tu.

Wakuu naomba kufaham cheap internal calls method ambayo unaipendekeza hasa ile unayotumia ambayo ni gharama ya chini sana kwa upande wako.

Hasa hizi VOIP services mfano CheapVOIP, SmartVOIP, Nonoh,Freecalls n.k kuna huduma gani unayotumia mara kwa mara kuwasiliana nyumbani ambayo unafikiri na mimi mpwa wako naweza kuitumia, nimetumia nonoh kwa kipindi flani lakini
mara kwa mara nimekuwa nakumbana na errors za ajabu ajabu na kushindwa kupiga important calls napo hitaji.

Natanguliza shukrani
 
in order of cost-benefit;
1st. google voice
2nd. skype
3rd. jupiter calling cards
4th. call global
 
in order of cost-benefit;
1st. google voice
2nd. skype
3rd. jupiter calling cards
4th. call global

Mkuu hawa jamaa wa google voice wanahuduma ya pc to mobile phone ama to landline? otherwise nashukuru kwa mchango wako mkuu
 
Mkuu nonoh nimetumia na ndio natumia kwa sasa but nilikuwa nafikiria ku migrate kama kuna huduma nafuu zaidi ya hii na pia huwa na receive errors msg mara kwa mara ninapo nunua credits.
 
smartVoip,Jumblo ama VoipGain ni afadhali kidogo
 
Jaribu intervoip na poivy
Nafikiri zinafanya kazi vizuri, though kuna wakati na zenyewe huwa zina kwikwi.
 
Mkuu hawa jamaa wa google voice wanahuduma ya pc to mobile phone ama to landline? otherwise nashukuru kwa mchango wako mkuu

pc to any phone, na wana application ya mobile kwa hiyo waweza kupiga kutoka kwenye mobile yako kama inaruhusu hizo apps.
 
Heshima mbele wanajamii

Ebwana natambua kunawadau wengi humu wapo nje ya nchi ( outside Tanzania) aidha kwa muda mrefu ama kwa kipindi tu.

Wakuu naomba kufaham cheap internal calls method ambayo unaipendekeza hasa ile unayotumia ambayo ni gharama ya chini sana kwa upande wako.

Hasa hizi VOIP services mfano CheapVOIP, SmartVOIP, Nonoh,Freecalls n.k kuna huduma gani unayotumia mara kwa mara kuwasiliana nyumbani ambayo unafikiri na mimi mpwa wako naweza kuitumia, nimetumia nonoh kwa kipindi flani lakini
mara kwa mara nimekuwa nakumbana na errors za ajabu ajabu na kushindwa kupiga important calls napo hitaji.

Natanguliza shukrani

Mzee Mwenda_Pole jaribu www.smsdiscount.com
 
Nawashukuru wote kwa michango yenu, ngoja ni browse kwenye hizi data mlizonipatia nione ipo imekaa vizuri zaidi. Have a nice weekend everyone
 
Skpe ni bure bwerere tu, tumia hiyo. Vipi mheshimiwa salio limepungua? Usijali ni vijimambo tu!
 
Nadhani skype inakuwa bure iwapo unaempigia nae yupo online skype vinginevyo unalipia pia.

smsdiscount ni euro 0.08 kwa dakika na mara nyingi iko OK.
 
SmartVOIP is the best!
Skype inasumbua kurichaji kwa CreditCards or Visa Cards
 
Skpe ni bure bwerere tu, tumia hiyo. Vipi mheshimiwa salio limepungua? Usijali ni vijimambo tu!
skype to skype is free but skype to mobile or landline you have to pay! Its NOT for free!
 
Back
Top Bottom