Hata nyerere alivaa kofia kuwazuga waislam lakini alichowafanyia leo hii wakilalamika wanapigwa risasi.staili yao yakinyonga tumeistukia,tatizo lao hawana nia njema na waislam wanaafiq.
Sio ndalichako kama yeye bali ni mfumo uliojipanga na kujidhatiti kufanya hayo toka enzi ya msanii JK.wanafuraahi kujazana wao kwa wao sector zote serikalini.
Mtei ndo yupi au yule aliyesema tume ya katiba imejaa waislam wengi?kama mawazo yake ndo hayo tunategemea nini chadema?Laiti wanzanzibar wangejua wanavyochukiwa na huyu bwana,wakiingia ikulu watawafyeka zaidi ya yule fisadi mkuu mwaka 2001.mungu tubariki na utulinde na madhwalimu.
Tatizo lenu si mzanzibar bali ni muislam.Tumeshawajua mmezoea upendeleo wa kilakitu hivyo mnahofu labda atatenda HAKI.Mmemtisha kikwete mpaka kashindwa kutenda haki kaendeleza upendeleo.Mungu anawasubiri kwa hamu mtaona.
Mi nahisi kama kawaidayao yakubebana ktk Elimu.Mipango ya NECTA na VYUO VIKUU katika kuubeba mfumo.pumba kamahizi chuo kikuu?jamani,jamani,jamani.lakini pia najiuliza kwanini pumbahizi kwa Prof Sifuni?
Nyie mlianza kuonesha udini pale mlipomnyima kura 1995 na 2000.na sasa mnataka waislam waichague CDM yenu haiwezekani.kila mtu apigie kura chama chake.
Inaonekana we unafuta dini kibubusa sana.Yesu ananafasi ya utume kwawaislam hata yeye mwenyewe anajua hivyo.Mungu kajitahidi sana kaleta mitume jumla 124,000,vitabu4,binadamu kiumbe pekee duniani mwenyeuwezo mkubwa wa kufikiri kwalengo kuu moja tu,watu wasipotoshwe kuhusu mungu mmoja ili...
Haijapata kutokea yakua mtu anamtakasa mungu kutokan na shirki na akatetea hakhi za wanyo'nge ila atauwawa ama kuteseka.Paulo aliwauwa watu ktk masinagogi(MISIKITI) na akawashurutisha kukufuru(kua makafiri kama yeye) soma waraka wa paulo.Kama si mwislam mwenyeimani lazima ushabikie hilo...
Jamani sisi mtatupiga risasi sana lakini nawaombeni tusiite uchochezi pale unaposikia jambo tofauti naimani yako,ndo maana muovu anapanda magugu katikati ya ngano.
kwani chadema na CUF kipi kilianza kua chama kikuu chaupinzani?kwanini mnalazimisha waislam wachague chama kikuu chaupinzani hali nyinyi wakristo mlimkataa lipumba kwa uislamwake pale kilipokua na nguvu mkakidhoofisha?sikuzote nyinyi ndo mnaanza kila baya waislam hayohayo...
Serikali wenyewe ni wanaaaaaaaaaaaaaaaafiq wakubwa.Mtu mwenye akiri akiongea upumbavu kwa wenyeakiri wenzake amewadharau.Wanadhani sisi hatuoni au atusikii kwaya ofisi za serikari.Weka qur'an alafu ukiendelea nakazi we umetoka kwakina Pinda.Serikari ikikomesha upumbavu huu huo umoja wasisubiri...
HEHEHE Ilunga naye anaitwa gaidi,Mfumo kweli ni hatari Mmmmh.Aaaaah kumbeeee aligusa mfumo pale alipotoa CD isemayo BAKWATA ni tawi la KANISA!!!!!.Mfumo huwezi kumwacha amegusa ukweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.