Recent content by mkombengwa

  1. mkombengwa

    Ufalme wa Bayern Munich Bundesliga Wazimwa Rasmi , Bayer 04

    Hata epl nayo imekuwa ya hovyo...kila mwaka man shit tu
  2. mkombengwa

    Mamelody yaibua utata tena dhdi ya Cape Town Spurs.

    Rage ajengewe SANAMU... MBUMBUMBU FC
  3. mkombengwa

    Mamelody yaibua utata tena dhdi ya Cape Town Spurs.

    Anzisha uzi kuhusu yanga kupewa pwenati za bure...HAPA HOJA NI MAMELODI ACHA UNDEZI
  4. mkombengwa

    Nashauri uongozi wa simba sport club, usipeleke timu uwanjani tarehe 20/4/2024

    Hili wazo limepita...mkuu ,tufanye hivyo....
  5. mkombengwa

    Nashauri uongozi wa simba sport club, usipeleke timu uwanjani tarehe 20/4/2024

    Bora tushushwe tu,kuliko kukutana na hiyo dhahma
  6. mkombengwa

    Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Hapa mkia umetikisa umbwaaa
  7. mkombengwa

    Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji nawaomba Msamaha 'Mangungu' na 'Try Again'

    Acha visingizio kupigwa mtapigwa tu..TULIA MKUU ,UTALIWA TU...MNAMSINGIZIA MUDI ,WAKATI MNAMPIGA KWA TEN PERCENT ZA USAJILI...MNAFIKIRI YEYE ZWAZWA
  8. mkombengwa

    Kocha wa Mamelodi asikitishwa timu yake kukosa support ya mashabiki wa Afrika Kusini

    Al ahly washakula Al kasusu wanamsubir mwali gheto
Back
Top Bottom