Sigara hii naitafuta kwa hapa dar

Sigara hii naitafuta kwa hapa dar

Katika vitu ambavyo sikuwahi kuona starehe yake ni Sigara. Niliishindwa baada ya kujitahidi sana,
Nilikuwa na timu ya marafiki wahindi, wazungu na n.k tukikutana mezani ni pombe sigara za kila aina nyama choma,mishikaki na kila kitu ukijisikia unavuta tu, ilikuwa vurugu, mabaharia hawana hasara wakiwa nchi kavu.
 
Mimi natafuta cuban cigar. Ukiiona mahali naomba unijulishe chief
 
Kama kuna mtu amepata connection ya hii sigara nyota anipe mrejesho...NAITAFUTA SANA..hizi sigara hazionekani kama SAFARI LAGER ORIGINAL
 
Ukiweza acha kabla madhara hayajakukumba ndugu.

Kwa mwezi unaspend kiasi fulani cha pesa kwaajili ya sigara.

Unapofika wakati wa kula chakula na mfukoni huna sigara naamini huli kwa raha.

Kutema mate mara kwa mara

Kinywa chako kuwa na harufu ya tumbaku na mengine mengi ila hilo la cancer ni hatari sana ikiwa itakupata inasumbua mno kuitibu na ukifikiria chanzo chake ni cigarette tu ambayo sio chakula kwamba usipovuta utakufa.

Maneno yangu sio sheria
Umemaliza vizur mkuu,kuwa maneno yako siyo sheria...HAYO MENGINE NI BLAH BLAH TU
 
Mwisho wa siku mnatuomba tuwachangie hela za matibabu na huku ni starehe zenu mkomae na kujitibu pia tafathali
 
Back
Top Bottom