Recent content by Mkoko kisu

  1. M

    Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

    Mzee wa tuzo mbona unaangaika au bado ujapewa tuzo yako
  2. M

    Kupoteza Hamu ya Ngono kwa Mume Wangu: Je, Mimi Nipo Peke Yangu?

    Acha umalaya baki njia kuu michepuko sio dili Ebu achana na uyo mchepuko ulienae kwa sasa hamu ya mumeo itakuja tu ila ukiendelea na uyo mchepuko hamu ya mumeo hutokua nayo na bado ndoa yako utaiweka matatani Afu pia kua na huruma na watoto wako 3 iv ndoa ikivunjika hao watoto watakua na kuishi...
  3. M

    Niliwaonya mno mlioshangilia Kifo cha Hayati Magufuli na Kumsimanga, haya nanyi sasa mnamfuata huko huko

    Au ww uliemuongea vzr jiwe jambazi mungu mtu utaishi milele Vp ww unaemuongelea kwa mazuri utaishi milele
  4. M

    Niliwaonya mno mlioshangilia Kifo cha Hayati Magufuli na Kumsimanga, haya nanyi sasa mnamfuata huko huko

    Wacha kuongea pumba zako kwan walikwambia wataishi milele Walifurahi sababu jambazi muuwaji fisadi mtesi kafariki kwaiyo mateso na manyanyaso yako hayatokuepo tena iyo ndo ilkua furaha yao ila sula la kula kla mtu atakula na ilo kla mtu analijua Ficha ujinga wako usitake kulazimisha kla mtu...
  5. M

    Napendekeza mfumo wa ‘Randomizer’ kwenye usajili wa ‘plate number’ za magari nchini

    Akunaga kitu kipya wala kizee ata iyo namba E ipo sku itakua nzee sa km ni unyonge ni kununua gar jipya kla namba mpya ikitoka iyo itakusaidia kuondoa unyonge, Ila suala la kuuza gar nazan nyie wauza magar ndo muanze kutoa ushauri na elimu ya kutosha kwa wateja wenu wajue usajir sio ubora wala...
  6. M

    Tukisema Royal Tour Tulipigwa tunamaanisha ukweli

    Wacha kuleta polojo ebu twambie kwanza ww uko ktk sekta gar ya utalii Hotel and lodge, tourist camp, usafilishaji, bank au bureau change, tour guide nk Sio unaongea pumba zako wakat hao watalii unawaonaga na kuwasikia kwa taarifa ya habari au wakipita kwenye magari Ebu waulize walioko kwenye...
  7. M

    Kichwa cha uume kimevimba kama ngumi ya mtoto mchanga

    Wacha kutembea na mali za watu ndo mattzo yake ayo sasa
  8. M

    Kumekucha Msimbazi mashabiki wataka MO awaachie timu yao

    Hao mashabiki wanajua mshahara wa chama kwa mwaka kwel
  9. M

    Mliokaririshwa uongo kuwa mishahara ya walimu ni midogo kuliko watumishi wengine wa serikali, nawaanikia hapa

    Watoa takwimu acheni kuandika vtu why usituprintie bank statement ya kuonesha ivyo Au why msitupigie pic ule mfumo wa mishahara sjui ndo inaitwa salary structure mm sio mwajiliwa sjui inaitwaje Unaniambia mwalimu analipwa lk 7 kwa mwezi ila ukiwaangalia mtaa maisha yao weng ni magumu...
  10. M

    Kisa 2000 ya marejesho nusu nimchakate asububi hii

    Uyo ni maraya bana au ni demu wa uswazi ambae anaweza kukupa mbisusu kwa elf2 acha kujisifu
  11. M

    Nyimbo za Dini sehemu za Starehe

    Akuna nyimbo za dini zote ni nyimbo za kidunia na zmeimbwa na wahuni na maraya tu Waimbaji wanavaa modo wanavaa vimini na wao wanacharge mtu kuangalia shoo yao na bado kuna wengne wanalilia pesa za mirabaha za basata kwaiyo hao ni wasanii km walivyo wasanii wengne na ndo maana wanamatendo km ya...
  12. M

    Bila sadaka kwanza hupati huduma ya maombi ya Mtumishi Elisha Malisa. Je, tunanunua Huduma ya Kiroho?

    Dini na madhehebu yako meng na kla mtu anasheria na taratibu zako so ni maamuzi yako km mtafta uduma kuchagua wapi utapata uduma akufai achana nae sio unakuja apo kumponda na kumfanya aonekane mbaya
  13. M

    Jamii ya Kitanzania inatuchukulia simple sana sisi walinzi, wengine tuna elimu zetu na fedha tunazo

    Sizan km unahaja ya kulalamika heshima inatokana na sekta uliyopo Watu wakekua wakizarau walimu je ni kwa sababu ni maskini au kwa sababu ya maslai madogo hapana ila ni sekta waliopo kuna walimu wanamagari wana majumba kibao na wanasoma watoto private school ila bado wanazarauliwa Sasa ww ata...
Back
Top Bottom