swala hili limepelekwa mahakamani ili kuzuia bunge lisichukue hatua zake mahususi na hii ni mbinu na mchezo mchafu wa CCM hivyo watanzania tunahitaji kuwa na moyo wa ukakamavu tuache sera za kutudanganya eti TANZANIA nchi ya AMANI kuna kila sababu ya kuandamana nchi nzima bila kikomo hadi...
Ningekuwa raisi wa zanzibar katika sherehe ya kuazimisha hiyo siku leo 12/1/2015 ningewashawishi wazanzibar waipinge rasimu ya katiba ilopitishwa na bunge la katiba huku nkiwahimiza kuikubali rasimu ya warioba yenye tija na masilahi kwao nkiwaweka sawa juu ya akaunti ya tegeta escrow kuwa hizo...
Ndugu wapendwa ningekuwa raisi wa zanzibar leo ningewaweka wazi na kuwashawishi waipinge rasmu ya katiba ilopitishwa na bunge la katiba na wahidai rasimu ya warioba iliyokuwa tija kwa wazanzibar pia ningewaeleza uhalali na uhalisia wa pesa ya tegeta escrow kuwa ni pesa ya umma si vinginevyo...
Endelea kutujuza kitakachoendelea juu ya huyo mgonjwa kuanzia kulazwa kwake hadi kuruhusiwa ,,na tumuombe noderator kusaidia katika hili kulijulisha taifa hususan viongozi wa idara yua afya..mzaha mzaha utumbua usaha
Anachotaka kukifanya s.sitta akikubaliki na nitawashangaa wana ccm urambo iwapo watampitisha m.sitta kugombea ubunge kupitia ccm,,,,kamanda luhende komaa na mungu akutangulie hilo jimbo ni lako kamanda
Pamoja na rasilimali zilizopo mkoani geita ikiwa ni pamoja na mgogi mkubwa wa dhahabu bado hakuna maji kila ukikalibia uchaguzi mkuu utaona mbwembwe za kisiasa zinaanza hususani chama tawala kuanzia wiki ilopita tar 6/1/2015 tumeshuudia kijiko kikianza kuchimba mitalo eti wanataka kulaza bomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.