KILLANEKELI
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 295
- 123
CCM mnajidanganya sana kuhusu jimb la Iringa,hakuna wa kumtoa Msigwa Iringa mjini,kwanza uyo Mapunda ndo namsikia Leo,sijawahi kumsikia ata kwenye midomo ya wanaccm wa Iringa,alicho wafanya Msigwa kwenye serikali za mitaa nadhani nidalili ya kwamba mmechokwa,kutoka mtaa mmoja 2009 mpaka mitaa 67