Sherehe ya mapinduzi zanzibar

Sherehe ya mapinduzi zanzibar

Joined
Jan 11, 2015
Posts
13
Reaction score
1
Ndugu wapendwa ningekuwa raisi wa zanzibar leo ningewaweka wazi na kuwashawishi waipinge rasmu ya katiba ilopitishwa na bunge la katiba na wahidai rasimu ya warioba iliyokuwa tija kwa wazanzibar pia ningewaeleza uhalali na uhalisia wa pesa ya tegeta escrow kuwa ni pesa ya umma si vinginevyo maana mapinduzi ni pamoja na kupinga maovu yote
 
Back
Top Bottom