Tatizo sugu la maji mkoani geita

Tatizo sugu la maji mkoani geita

Joined
Jan 11, 2015
Posts
13
Reaction score
1
Pamoja na rasilimali zilizopo mkoani geita ikiwa ni pamoja na mgogi mkubwa wa dhahabu bado hakuna maji kila ukikalibia uchaguzi mkuu utaona mbwembwe za kisiasa zinaanza hususani chama tawala kuanzia wiki ilopita tar 6/1/2015 tumeshuudia kijiko kikianza kuchimba mitalo eti wanataka kulaza bomba la maji maadamu wakijua kuwa uchaguzi mkuu umekaribia je tutafika kwa staili hii
 
Back
Top Bottom