Sherehe ya mapinduzi ya zanzibar

Sherehe ya mapinduzi ya zanzibar

Joined
Jan 11, 2015
Posts
13
Reaction score
1
Ningekuwa raisi wa zanzibar katika sherehe ya kuazimisha hiyo siku leo 12/1/2015 ningewashawishi wazanzibar waipinge rasimu ya katiba ilopitishwa na bunge la katiba huku nkiwahimiza kuikubali rasimu ya warioba yenye tija na masilahi kwao nkiwaweka sawa juu ya akaunti ya tegeta escrow kuwa hizo pesa zilikuwa mali ya umma si vinginevyo
 
Back
Top Bottom