Kwahali hiyo nadhani mkurugenzi na wahusika wengine wapo likizo na ofisi zimefungwa.
Fedheha kubwa sana hii kwa nchi
Hali ya Tanga bado kiutawala haipo vizuri ni bora Mh. Rais ainusuru Tanga
Huyo RAS wa Tanga amelala bado maana nimeona uzi mwanajukwaa ameandika akisema yupo mwalimu mmoja ameshtakiwa kesi ya uhujumu uchumi lakini bado ni Afisaelimu kata eti.
Huyo RAS Tanga wanahasara
Yapo mambo ambayo niyakufikirika ambapo tunajengwatu kiimani. Mfano Mungu,peponi/mbinguni,malaika nk
Vitu hivyo nidhahaniatu. Ukitaka kila kitu ukithibitishe utakuja kusema hakuna koto wala baridi,hakuna raha wala karaha maana havishikiki.
Nimawazo yangu tu
Akija aondoke na viongozi wabadhirifu, wala rushwa, wakandamizaji, wamiliki magenge ya uhalifu na wanaosababisha migogoro ya ardhi
Tutampokea kwa mabango.
Pia aje na waandishi wake wa habari maana waandishi wa Tanga wapo likizo siku zote
Naomba watu waelewe kwamba wabunge pale wapo kazini na wamewekeza hela zao mpaka wakaingia pale.
Sasa hao matajiri wamefuata nini bungeni wakati wana miradi yao?
Hoja ya uwezo wa mtu kiuchumi isituzuiye kuendesha mjadala kama tunaona ipo haja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.