Recent content by Mkinga Wa Milimani

  1. Mkinga Wa Milimani

    JamiiForums Tanzania Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Sasa hapa CHADEMA imeingiaje?
  2. Mkinga Wa Milimani

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi vifurushi vya halotel

    Hii mitandao sasa ni shida
  3. Mkinga Wa Milimani

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba Amzika Lowassa leo Mwembetogwa, Iringa Mjini

    Hongereni kwa kujitia moyo ingali kidonda ndo kinazidi kukua. R.I.P CCM
  4. Mkinga Wa Milimani

    JamiiForums Tanzania Watanzania sio wajinga; tumekusikia, tumetafakari na tumeamua Magufuli ndio ajaye

    Kubali ukatae CCM hamna jipya na zungumia wewe usijumulishe watanzania wote, maana nami nimtanzania ila ninamawazo tofauti na CCM. Pili usilazimishie mawazo kuwa watz lazima wawe ccm, ukiwa hivyo wewe utakuwa mjinga wa neno DEMOCRASIA unatakiwa kueleweshwa.
  5. Mkinga Wa Milimani

    JamiiForums Tanzania Ewe mtanzania usipoteze kura yako kumpa Lowassa

    Sio mbaya kuonekana upo japo ulicho kiandika hakiakisi maamuzi waliyofikia watz, Pole sana inaonekana unaishi katika nchi ya giza
  6. Mkinga Wa Milimani

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamekata Umeme sehemu kubwa ya Nchi ya Tanzania, leo 29th Aug 2015

    Mbeya kama kawaida yao wamesha chukua
  7. Mkinga Wa Milimani

    JamiiForums Tanzania CCM imekufa kabisa

    Unae sema CCM itatawala milele imekuwa MUNGU? Najua kujifariji sio vibaya ila kujifariji kupita kiasi ni hatari kama lile unalojifariji nalo lisipo fanikiwa
  8. Mkinga Wa Milimani

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa yeyote mtaalamu satellite receiver

    Natumia receiver aina ya DVB - S2 Satellite receiver (MediaCom MFT - 940 Plus) kwa kutumia Dish dogo, nimeifunga kwenye NILESATE 7°W, na signal zipo vizuri. Ila tatizo channel za kitanzania zote sauti zinakatakata, tatizo ni nini? Nifanye nini ili niwe nazipata vizuri
Back
Top Bottom