Recent content by MKIKUU

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jumapili Prof. Assad alikuwa akitafutwa anasema yupo nje ya Nchi

    Hahahahaha! Nampenda bure Mungu aendelee kumtunza, prof anatambulika duniani hawezi kufa njaa hata siku moja cha msingi ukweli mchungu watu wengi hawaupendi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo form 6: Mikoa ya Kusini yaigalaza chali,iliyoitwa ya wasomi

    Walimu huwa mnaandika hivyo?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naepuka vipi magamba mikononi baada ya kutumia sabuni ya Unga?

    Tumia sabuni ya OMO
  4. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya wanyaturu

    Hahahahaha!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Lazaro Nyalandu ajibu tuhuma za Mbunge Joshua Nassari

    Nyala nyala nyala
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hamas yavurumisha zaidi ya makombora 100 kuelekea Israel

    Taifa teule la Mungu Israel, shalom shalom shalom Israel.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nilidhani ukiingia mbuga ya wanyama Unaona wanyama kirahisi kumbe napo tabu tupu

    Barabara hiyo inapita ndani ya hifadhi hivyo watu wapitao pale hujionea wanyama bure tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nilidhani ukiingia mbuga ya wanyama Unaona wanyama kirahisi kumbe napo tabu tupu

    Pita barabara ya Morogoro to Iringa, pale Mikumi utajionea freely hususani kipindi hiki hadi simba utawaona pembezoni mwa barabara tu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwako Madam Rita wa Bongo Star Search

    Mbona hilo alishalisema nina hakika hata wewe ulifahamu hilo baada ya yeye kulisema hilo jambo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukaa gerezani tupeane uzoefu wa mateso, msoto na vimbwanga

    Wafungwa kutoroka ni uongo? Hujawahi kuona wakitoroka?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukaa gerezani tupeane uzoefu wa mateso, msoto na vimbwanga

    Sam kila kitu hutokea maishani huwa na sababu liwe baya au jema
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukaa gerezani tupeane uzoefu wa mateso, msoto na vimbwanga

    Nimekupenda bure Sam, hivyo tu ila specifically ni jina tu maana limenikumbusha mbali saaana.
Back
Top Bottom