Habari wakuu,
Ni mdahalo kwa wagombea Urais kuelekea uchaguzi mkuu 2015. Mdahalo huu unawapa fursa wagombea Urais kuweka wazi ajenda zao kwa nchi yetu ili wananchi wazipime.
Leo Jumapili Oktoba 18, 2015 tunawaletea mdahalo wa Mkikimkiki na leo utajikita kwenye kuwahoji wagombea wa Urais...
Habari wakuu,
Ni mdahalo kwa wagombea Urais kuelekea uchaguzi mkuu 2015, mdahalo huu unawapa fursa wagombea Urais kuweka wazi ajenda zao kwa nchi yetu ili wananchi wazipime. Hivyo, tunatoa fursa kwa wananchi kuwasilisha maswali yao kwa wagombea Urais kuanzia sasa hadi Ijumaa Oktoba 16.
Vyama...
Habari wakuu,
Leo Jumapili Oktoba 4, 2015 tunawaletea midahalo ya Mkikimkiki na leo utajikita kwenye Rushwa na Maadili, wawakilishi wa vyama kwa leo ni;
1. Onesmo Kyauke ambae ni mshauri wa ilani UKAWA
2. Mwigulu Nchemba akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi
3. Gibson Kachingwe akiwakilisha ACT -...
Asilimia 78 ya wananchi wanasema hali ya rushwa imezidi kuwa mbaya kwa miaka kumi, asilimia 30 wakitaka waliochukua pesa kwa mgongo wa rushwa wazirudishe, asilimia 32 wakisema wafukuzwe kazi na wanyimwe pensheni.
Asilimia 92 ya wananchi wanaamini wagombea wanaotoa pesa kipindi cha uchaguzi...
Habari wakuu,
Leo Jumapili Septemba 27, 2015 tunawaletea midahalo ya Mkikimkiki na leo utajikita kwenye uchumi, wawakilishi wa vyama kwa leo ni;
1. Onesmo Kyauke ambae ni mshauri wa ilani UKAWA
2. Khamis Kigwangalla akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi
3. Hamimu Honga akiwakilisha ACT - Wazalendo...
Kwa mara nyingine tena Mdahalo wa Mkikimkiki unawadia.
Shiriki nasi katika Jumapili hii ambapo Wawakilishi wa Vyama mbalimbali watakua wakijibu maswali ya Wananchi kuhusiana na UCHUMI.
Unaweza kuweka maswali ambayo ungependa kupata majibu kutoka kwa Wawakilishi wa vyama hapa...
Leo Jumapili Septemba 20, 2015 midahalo ya Mkikimkiki inaendelea na inalenga kuvipa vyama vyote fursa ya kunadi Ilani zao na kwa wananchi kuuliza maswali muhimu yatakayo pelekea maamuzi yao katika uchaguzi.
Mkikimkiki‬ iko Zanzibar Jumapili hii na waalikwa ni wagombea urais wa vyama...
Shiriki kwa kutuma swali lako hapa JamiiForums kwa ajili ya kuwatumia viongozi watakao shiriki mdahalo hapo kesho Tarehe 20, September 2015.
Mkikimkiki‬ iko Zanzibar wiki hii na wamealika wagombea urais wa vyama vitano ambavyo ni CCM, CUF, ADC, CHAUMMA na ACT-Wazalendo Kushiriki ni...
Habari wakuu,
Leo Jumapili Septemba 13, 2015 tunawaletea midahalo ya Mkikimkiki na leo utajikita kwenye elimu na afya, wawakilishi wa vyama kwa leo ni;
1. Khamis Kigwangalla akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi
2. Samson Mwigamba atawakilisha ACT wazalendo
3. Ndelakindo Kessy atawakilisha...
Kushiriki katika Mdahalo huu tuma neno KUSHIRIKI kisha achanafasi, tuma jina lako na kazi yako kwenda namba 15678. vigezo na masharti kuzingatiwa.
LINI: Jumapili 30, Agosti, 2015
MUDA: Saa 10:00 Alasiri
STATION: STAR TV_Live/RFA Radio
MADA: Umoja wa Kitaifa
​#Mkikimkiki umeanza...
MDAHALO WA KWANZA WA KIHISTORIA WA WAGOMBEA WA URAIS_CCM
MWIGULU NCHEMBA, LOWASSA, PINDA NA WAGOMBEA WENGINE AKIWEPO JANUARY MAKAMBA NA HAMIS KIGWANGALLA WATAKUWA LIVE STAR TV KUELEKEA MBIO ZA UTEUZI WA MGOMBEA URAIS CCM 2015.
Wote Mnakaribishwa
LINI: JUMAPILI 5/July 2015
MUDA : SAA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.