Recent content by mkighare

  1. M

    JamiiForums Tanzania Shule 20 maarufu Kilimanjaro miaka ya 1980 mpaka 1995

    Mbona uzi unapishana na Maelezo ungesema Shule za moshi na Si Kilimanjaro
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kumrithi Makonda Dar es Salaam?

    Wamwisho sokoni Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania WAKATOLIKI: Je, unamuamini vipi padri unayekwenda kuungama/kutubu dhambi mbele yake?

    Mwenyewe anashida zake atakumbuka za kwako saa ngapi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Muujiza mkubwa watokea leo: Mdogo wa rafiki yangu amefufuka

    Huu uwongo hujaupangilia vizuri maana mgonjwa kafa hamjapanga taratibu za mazishi mmemkimbiza nyumbani na ukizingatia nyiyi kuzika mpaka siku kadhaa toka msiba uwafike Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, ile kauli ya Sheikh Mkuu wa Dar es salaam kuhusu kumnyamazisha Mange Kimambi imetimia?

    Uchonganishi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mashine ya mchina inanifilisi

    Hiyo biashara ni haramu kwa dini zote hata upagani Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mji ulioshindikana kwa watu kula 'bata' hapa Tanzania

    Muda uliopo ni wakutafuta na kutumia kuoga tumewaachia nyinyi huko Dar Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Pole Wastara Mungu atakuondoshea lililokuwa zito kwako Insha'Allah

    Shafaqa llah la'abasa twahuru Insha Allah
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wanaume mnaopiga wake zenu

    Hawa watu ni muujiza ukikaa nao mwaka haswa wa kwanza bila kumchapa kibao heshima hawezi kuwepo
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mlioko ndani ya ndoa mko wapi kutetea ndoa zenu?

    Wewe hujui hawa wakimteka mumeo hakuna rangi utaacha kuona
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mlioko ndani ya ndoa mko wapi kutetea ndoa zenu?

    Ndiyo wawadhibiti
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mlioko ndani ya ndoa mko wapi kutetea ndoa zenu?

    Naam waende wakachukue orodha wafatilie wapambane na wezi hao
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mlioko ndani ya ndoa mko wapi kutetea ndoa zenu?

    Wanawake mlioko ndani ya ndoa mko wapi kutetea ndoa zenu wezi wamejitokeza hadharani kwa mkuu wa mkoa na kujitangaza kwamba wana waibia na wanahitaji waume zenu warudi kwenye wizi kwa kuwarudia halafu nyinyi mnawanyamazia kwanini?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Hamisa Mobetto kwa mumewe mtarajiwa

    Mbona kajina lako ni kalugha hiyohiyo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Binti aliyetelekezwa na Lowassa asema Fred alimtambua na kumhudumia. Lowassa agoma kupima DNA

    Hongera Mzee umetumia busara mtume Bob anaweza maliza hii kesi kirahisi
Back
Top Bottom