Recent content by mkereketwa89

  1. mkereketwa89

    Wazungu waling'oa pua za sanamu za Misri ili kuficha ukweli kuwa chimbuko la ustaarabu duniani ni mtu mweusi.

    walitufanyia divide and rule wakabeba document zetu wakaneda kuzisoma ndo hzo zinawafanya wavumbue vitu sisi wakatuachia dini zao ndo hzo kila siku zinaleta shida
  2. mkereketwa89

    Nape Nnauye ajiuzulu Uenyekiti wa Kamati ya Maliasili na Utalii

    i will never forgive or forget Nape...kamwee anatakiwa avuliwe kila kitu na afilisiwe kama vipi maana haya yote kaleta yeye tena aliyaleta kwa dharua kubwa akijua yeye yuko juu ya kila kitu
  3. mkereketwa89

    Rais Magufuli atembelea ofisi za Channel 10 na Magic FM, mali za CCM. Aahidi kuwapa Tsh milioni 200

    sasa hivi hadi kwenye maBar wanaweka flash sio enzi za Jk kwanzia mida ya saa 7 jioni kila mtu anaTUNE kwenye habari
  4. mkereketwa89

    Ziara ya Tundu Lissu iangaliwe kwa jicho la tatu na wapenda amani

    walijua lzm wamalize magazine na hata nzi watakua wako chini...
  5. mkereketwa89

    Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    nikiwa chuo pale IAA waislam walikua wanasali kwenye uwanja wala kulikua hakuna kelele
  6. mkereketwa89

    Watu wa dini, batizeni watoto wenu majina yenu ya kiafrika, achaneni na majina ya wazungu na waarabu

    kwasababu wazazi wao hawajielewi..mm mtoto wangu lazima ajue maana ya jina lake
  7. mkereketwa89

    Irene Charles Isaka, Director General, Social Security Regulatory Authority

    hehe mm yenyewe nimeona hana njaa but she wanted more ndo njaa...yenyewe hyo plus ulafi
  8. mkereketwa89

    BASATA wanena kitakachoyakuta mabasi, bar zinazocheza ‘Nyegezi’

    Utaratibu uko mkuu ila ndo wasanii huwa hawafwati.kabla ya kuachia nyimbo lzm uipeleke basata
  9. mkereketwa89

    BASATA Hongereni Kumfungia Diamond na Tabia Zake za Hovyo Zisizovumilika

    Hata sisi tunalipa kodi..au ni yy tu ndo analipa kodi mkuu?
  10. mkereketwa89

    BASATA wanatoa wapi mamlaka ya kuzuia show za nje za Wasanii?

    Alikaa kimya wakati wenziwe wanafungiwa zamu yake imefika inabdi atulie tu hamna namna...hatuwezi kua na balozi wa nyege waTz sio watu wa nyegenyege
  11. mkereketwa89

    Jeshi la majini kazi yake ni ipi? kwanini hawakuenda kuokoa mwanza??

    kwahyo ikitokea vita nayo tutaandaa taratibu kwanza wakati tunapigwa ambush...kwaio jeshi letu halijajiandaa kwa dharura yoyote ile?
  12. mkereketwa89

    Wanaopinga kuungama dhambi kwa Padri, ndio wapinga Kristo wanaohubiriwa na wasabato na ndio wale wanaosoma maandiko kwa kurukaruka.

    mafundisho yenyewe unafundishwa ukiwa mdogo ili usiwe na akili ya kuhoji...fungua akili jaribu naww kusoma na vitabu vingine using'ang'anie katekisimu tu jomba...jifunze kufikiria na kichwa chako usipende kusaidiwa kufikiria..
Back
Top Bottom