Recent content by Mkempia

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu zipi zinazopatikana maligafi ya mpira hapa Tanzania

    Nenda katembelee ofisi za Shirika la Taifa la Maendeleo ( NDC ) wako posta ya zamani jirani na mahakama ya Rufaa. ingia kwenye website yao www.ndc.go.tz au piga namba 0658692903
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya mikono yako kwenye mustakabali wako...

    Somo zuri sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nyuki wema, nyuki wabaya!

    Mshana niendelee kutumia tu hio chumvi kwa shughuli zote hizo hadi tatizo Liishe? Niliacha kutumia kwasababu muda mwingi sipati usingizi nashinda nikiwa mchovu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nyuki wema, nyuki wabaya!

    Nakubaliana nawe kabisa. Kuna muda nyumba nzima tunaishiwa nguvu, kuona ndoto mbaya
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nyuki wema, nyuki wabaya!

    Nikiogea, Nikidekia na hata kunyunyiza chumvi ndani ya nyumba huwa sipati usingizi kabisa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya kuzama kwa MV Bukoba tarehe 21 May, 1996

    Wapendwa wetu wapumzike kwa Amani.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujue Mti chonganishi

    Huu mti, Mshana Jr alishauelezea sana humu jukwaani. Tafuta thread "mti chonganishi"
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini toka kwa mfalme Suleiman?

    Kuna mengi sana ya kujifunza kutoka kwa Mfalme Suleiman. Hata hawa manabii wanaotuombea tupate mali, na utajiri bila kuongozwa na hekima ni bure tu!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Asante kwa mada nzuri Brother Mshana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wenye ndevu huwa hawazinyoi?

    Tundevu twenyewe tuwili tuhangaike nini kuonyoa. Mimi huwa nazivuta hadi zinakatika.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mama anaendesha basi la kampuni gani Mbeya-Dar?

    Alikuwa tanga-mtwara, tanga - dom baadae akamalizia Arusha. Sasa hivi ameacha kuendesha yuko tanga anafanya shughuli zake..
  12. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyekuwa RC Ruvuma, Said Mwambungu afariki dunia katika Hospitali ya Muhimbili

    Pumzika kwa Amani Mzee Mwambungu!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Gone too soon! Mkalale kwa amani

    Brother Mshana Jr umenijengea mazingira magumu sana hasa ya kutopenda kupiga picha tukiwa kwenye kusanyiko. Lile somo la picha nilijifunza kitu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale watakaofukuzwa kazi

    Asante Brother Mshana Jr kwa neno la faraja
  15. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Dr. Elly Macha mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA afariki dunia

    Pumzika kwa amani. Nakumbuka nikiwa mdogo tuliishi nae kwenye flat za NHC alikuwa akiishi kwenye floor ya juu kabisa, ajabu aliweza kufika mpaka kwenye room yake na shughuli zingine zote alikuwa akifanya mwenyewe. Hii ilikuwa inishangaza kweli.
Back
Top Bottom