Ni kweli kabisa ile picha inaongea ile picha ina ujumbe wa kutisha sana.... Hawako Kama wana furaha ya safari ngoja nitaileta hapaMshana kuna ile picha inayosemekana hawa watoto walipga kabla hawajaanza safari. Kila nikiitafakari naona kama inasema jambo fulani. Em iangalie afu ufanye ule uchambuzi wako ( nakumbuka kuna mada moja ulizungumziaga kuwa picha inaongea?). Wapumzike kwa amani
Brother Mshana Jr umenijengea mazingira magumu sana hasa ya kutopenda kupiga picha tukiwa kwenye kusanyiko. Lile somo la picha nilijifunza kitu.
Mkuu Mshana badala ya kuangalia hii picha ya hawa watoto aisee imenikumbusha mengi sana haswa ile mada kuna siku uliileta kuhusu mambo ya picha ......aisee nimeumia sana! Hawa watoto walionekana kama hawako na furaha vile wanavyoonekana. ....Wapumzike kwa amani hawa watoto