Recent content by mkawaida

  1. M

    Diamond mdogo wangu kuwa makini na CCM, itakuzika

    mimi ni shabiki wa daimond na kila kukicha lazima niingie kwenye profile yake na nikisikia anashoo huwa nafurahi sana lakini niliposikia anashoo ya ccm roho imeniuma lakini nikajipa moyo kua najua anafanya kazi na mziki ndo ajira yake basi muache afanye kazi japo roho imeniuma sana
  2. M

    Diamond, kiba uchawi mtupu!

    watanzania bwana so hapo utakuta kunamtu katumwa arushe icho kitu ili watu wauze gazeti kwani hapo kulikua na daimond na alikiba tu na walijuaje kama ni wasanii walidondosha na mbona haikukutwa jukwaani
  3. M

    Zari white party

    ukiona hivyo ujue alikua anakugonga wewe ndo maana kinakuuma
  4. M

    Nini kimempeleka Mbowe huko South Africa?

    ndege ndio imempeleka vipi ulijua ni gari limempeleka?
  5. M

    Jiji la Mbeya kama kijiji

    watu wengine sijui bang unaweza ukawa unaponda halafu kwenu nyumba ya makuti kuhusu uchawi basi nawe ni mchawi coz mchawi anamjua mchawi mwenzake
  6. M

    Maandamano kupinga serikali kupandisha bei ya umeme

    Yani katika nchi ambazo wananchi wengi wao sawa na vichaa ambao hata milembe hawafai basi tz tunaongoza yani umeme unapanda bei mafisadi wanaongezeka tembo kila siku wanauwawa polis wanauwa wengine wanangolewa kucha na macho hatujawahi andamana eti Leo zito kavuliwa vyeo ndani ya chama...
  7. M

    Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

    Ata shetani alikua kama zito akajifanya anaweza zaid lakini mwisho akapigwa chini tunajua ccm mtaongea sana lakini sisi tulipenda cdm sio zito cdm aliikuta na ataiacha
  8. M

    KOVA: Kapuya hana kosa la kuhojiwa ni mambo yake binafsi

    Nilijua Itakua hivyo coz nikakumbuka ya ditopile yalikua hivihivi so sishangai ndo tz yetu polisi wapo kwa jili ya cdm angekua mbowe Leo hata vifaru vingetumika kumkamata lakini kwa Sababu ya wenye nchi kama wanavyodai basi
  9. M

    Maelezo ya Dr. Slaa na Mnyika/Makene yanatofautiana

    haikuhusu mambo ya chama mnachangia sana tukija mambo ya muhim kama madawa ya kulevya mnakua kimyaaaa
  10. M

    Maelezo ya Dr. Slaa na Mnyika/Makene yanatofautiana

    usilitaje bule jina la bwanamungu Wako
  11. M

    KUHUSU Katiba ya CHADEMA, ufafanuzi huu hapa; watoa tuhuma hawana hoja, walete nyaraka

    kweli upumbavu noma baada ya mda unaobishana na chadema ukawa unakisaidia chama chako ccm kisife we unangaika na katiba ya cdm sawa na mtu anamfukuza mke wake wewe unakazana haiwezekani mwambieni na mjinga mwenzenu ahamie kwenye chama chenye katiba isio ya kidikteta kwisha
  12. M

    Kazi ya kusaka Mabilioni nje yaanza: Rostam, Mbowe, Ngeleja wahojiwa!

    Kweli tunakoenda sasa sijui niliona Jana habari ikisema rai na mwananch wanataka kutumiwa ili kumchafua mbowe nilijua ni habali za hum lakini cha kushangaza kweli rai lishaanza kazi je maana ya vyombo vya habari ni nini halafu Kuna watu humu wanafurahi hawajui kua hii ni hatari katika taifa...
  13. M

    Sophia Simba: CHADEMA wanatumiwa kuanzisha vita na Mataifa ya nje ili yapate soko la Silaha

    Angekua ni ponda kasema ccm wanatumiwa na nchi za nje kuleta vita kesi ingeongezeka wangesema mchochezi lakini kwa sababu wengine wapo juu ya sheria basi lakini ningekua kiongozi basi angetusaidia kwa upelelezi huyo sijui simba pili anataka kutuambia kua polisi ndo nchi za nje na ccm ndo cdm...
  14. M

    Ufafanuzi: Dr Slaa hajasema kuwa CCM ina sera nzuri...

    kingereza Baba hii lugha ilikuja na ndege ndiomana unaona wanasema hivyo kumbe hawakuelewa kasema nini sasa ili tujue nao wamechangia mh lugha hizi ndiomaana mi nachangia tu za kiswahili za kizungu awe bora nionekane mjinga
  15. M

    Uchochezi wa Dr. Slaa na utembezi wake wa vyuoni Marekani. Iweje aruhusiwe?

    nazani huu ushauri ungemshauri kwanza pinda anthen uje kwa mwigulu itatusaidia sana kuliko polojo ulizoweka hapa
Back
Top Bottom