Recent content by Mkare

  1. Mkare

    Habari Mbaya: Mkurugenzi wa Meatu achomewa nyumba yake, yote yateketea

    Wow! That's interesting[emoji848]
  2. Mkare

    Mbwa wanaosemwa na Gwajima ni akina nani?

    Wakianza kuondoka nishtue nahitaji dagaa na ubuyu wa Zenji[emoji1787]
  3. Mkare

    Media za Tanzania zinaweza kufa kipindi hiki cha miaka mitano ya CCM

    Watafungua Youtube Channels[emoji28]
  4. Mkare

    "Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

    Si wenyewe kwa hali ya uchumi wetu tumshakuwa level ya donors...alisikika mataga 1[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. Mkare

    Mume HIV positive anaitajika

    [emoji1787][emoji1787] kivipi yani
  6. Mkare

    Posta Tanzania mnafanya kazi kienyeji sana. Huu ni upuuzi

    Na yuko very proud mwenyewe[emoji1787][emoji1787]. Tz raha sana
  7. Mkare

    GE2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

    Well said mkuu[emoji122][emoji122]
  8. Mkare

    Vijana tuna la kujifunza kutoka kwa Lissu

    Vijana tunatumia Siasa kama njia ya mkato ya kutaka maendeleo. Unakuta kijana amesoma ana elimu yake nzuri lakini anatetea vitu ambavyo hata mtoto mdogo anaona kwamba sio vya haki. Unajiuliza kwa nn alipoteza muda wake kusoma kama elimu inashindwa kumsaidia kupambanua mambo. Kisa anatetea...
  9. Mkare

    Vijana tuna la kujifunza kutoka kwa Lissu

    Tume ya Uchaguzi ingekuwa ya Haki inshaAllah tungeona mabadiliko mazuri sana kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Ambayo naamini yangejenga Tz bora zaidi. Sema ndio hvyo tena tunasubiri kudra za M/Mungu[emoji848]
  10. Mkare

    Zitto akirudi bungeni Oktoba, nitatembea kutoka Kibaha hadi Posta

    😂😂😂😂 Limemshuka mtu mzima
  11. Mkare

    Kuna Ufisadi wa kutisha pia kwenye NGOs na Private Sector.

    Napendaje umbea sasa.... Yupi huyo?
  12. Mkare

    Prezoo vs Chagga Barbie: Acha movie iendelee

    Mwenzangu. .. itakuwa kapata dawa ya kukikuza. Duniani hapa usitukane wakunga na uzazi ungalipo... amejiaibisha tu mwenyewe. Mtu mzima hovyo
  13. Mkare

    Mfahamu rafiki wa Wema anayedaiwa kumsaliti kwa kuanzisha uhusiano-na mwanaume aliyekuwa wa Wema

    Ndio wamemuanika picha zake za u2pu insta... Ingekuwa sio kuogopa ban ningeziweka hapa muoshe macho...lol
  14. Mkare

    Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Yeaaaaaah.... U a not alone mwaya.Mekutafutaje sasa. Nashukuru mekupata twin
Back
Top Bottom