Recent content by mkapa junior

  1. mkapa junior

    Nikupe Siri kuhusu UKIMWI

    Ameamua kujikusanyia kundi lake la manyumbu
  2. mkapa junior

    Nikupe Siri kuhusu UKIMWI

    We ni muongo acha kuwahadaa wenzio ..mtu hata akitumia ARV miaka minne akipima bado itaonekana positive na sikama usemavyo!
  3. mkapa junior

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Acheni kuimba wimbo kwa mkumbo tuambieni alichowafanyia marehemu Ruge mpaka kumpa sifa si zake. Acheni kukufuru, acheni kujipendekeza, hata Mungu hawaelewi kwann mnampa sifa ambazo si zake! Binafsi namuona Ruge ni mfanyabiashara kama Dialo au Mama Rwakatare maana wote ni wajasiriamali. Kama...
  4. mkapa junior

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Mkuu huwezi jua kuna nini kinafichwa. Siku zote mchawi ndo hujifanya anauchungu sana na marehemu huku nyuma ya pazia akijua alichofanya Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mkapa junior

    Mke mwema mwenye uhitaji wa dhati wa kuwa mke anahitajika

    Niingie kwenye mada tajwa. Nahitaji mke mwema. Sifa za nimtakaye Awe mwaminifu mwenye nia ya kweli, aliyemaliza mambo ya ujana, aliyetayari na mwenye shauku ya kuanza familia. Umri 26-35 Anayejishughulisha na shughuli halali. Mkweli Dini yyte Sifa zangu Mfanyabiashara Mkazi Wa Moro Elimu ya...
  6. mkapa junior

    Spika Job Ndugai azuia swali la Mbunge Kubenea lisijibiwe na Waziri Mkuu

    Speakers tunazo zile zimefungwa misikitini kwaajili ya kutoa azana mkuu
  7. mkapa junior

    Waziri Kalemani, unajua kuwa kwasasa mgawo wa umeme umepamba moto kuliko ilivyokuwa mwanzo?

    Kuna hata siku moja ulishawahi kuisemea vzr serikali?
  8. mkapa junior

    Kuhusu kitendo alichokifanya Kelvin Yondani dhidi ya Asante Kwasi

    We nae mpira ulicheza wapi? Hukuona huyo kwasi alichomfanyia Yondani mpaka kureact vile? Acheni viherehere kudandia mambo msiyo yajua...wengine nyie ni wajuzi wa kulala chali and nothing else.
  9. mkapa junior

    Fatma Karume amewezaje kuwa Rais wa chama cha mawakili Tanganyika?

    Wewe ndo umejibu vyema lkn wengine wametupigia kelele mpaka na matusi juu wakidhani wanajibu kumbe watoa mapovu tu. Ujuaji mwingi kumbe giza tupu
  10. mkapa junior

    January Makamba: Mzee anieleza siri juu ya mzee Nnauye, mzazi wa Nape

    Kazi kweli kweli! Kwanini yeye January asimtibie baba yake na kukaa kungoja ccm ifanye hivyo? Hapo alipo anashindwa nini kufanya hivyo? Mambo mengine yanafanywa kiki wakati hayana maana yyte ile ..hiyo kiki ya January imebuma kwa wenye ufahamu ila kwa mambumbumbu kama wapenzi na washabiki wa...
Back
Top Bottom