January Makamba: Mzee anieleza siri juu ya mzee Nnauye, mzazi wa Nape

Januari Januari! U are a big potato in the Govt farm, umeshindwa kumhudumia mzee wako apate matibabu stahiki? Unasubiri yatokee mambo gani ndipo umsaidie? Usianze kuwalaumu CCM while hata ww uwezo unao na mzee Makamba ndiye aliyekufikisha hapo.

Suala la CCM lifuate baadae baada ya wewe na familia kushindwa. Umemsahau mzee Ngoma wa Tanzanite? Mzee awe na thamani kubwa kwako kabla ya chama. Halafu wewe ni m-NEC kwa nini usimfikie hata mkiti wenu umpe duku duku za mzee wako, au yeye aonane na mkiti, katibu au mzee Kikwete?

Na nyie CCM kuweni na tamaduni za kuwajali waliowafikisha hapo sio mpaka mvuliwe nguo kweupe!!
 
wacha Mungu awashughulikie enyi mumiani CCM, endeleeni kutafunana ninyi kwa ninyi hadi mupukutike wote!
 
Siku zote mwosha huoshwa!! Watu
Weusi huwa hatujui kuwa ubaya hauna kwao!!

Huyu mzee nae hana shukrani wala fadhila!! Lowassa alimbeba sana hadi kupata ukatibu mkuu wa CCM lakini akaja mtusi matusi ya nguoni hadharani!!
Leo analalamikia aliowalea kumgeuka? Then mbona ana watoto wenye pesa akiwemo huyo January? Si wamtibu tuu?

Pole sana Mzee Makamba mwenda tezi na omo marejea ngamani!!!
 
Kazi kweli kweli! Kwanini yeye January asimtibie baba yake na kukaa kungoja ccm ifanye hivyo? Hapo alipo anashindwa nini kufanya hivyo? Mambo mengine yanafanywa kiki wakati hayana maana yyte ile ..hiyo kiki ya January imebuma kwa wenye ufahamu ila kwa mambumbumbu kama wapenzi na washabiki wa timu fulani ya kariakoo iliyofungwa 2-1 na timu moja hivi kutoka kanda ya ziwa na kuamua kuandika barua fifa kuomba wapewe points pamoja kuwa walifungwa mchana kweupe. January tunakujua upo serikalini na kwenye chama lkn unakinyongo kwasababu ulitegemea kupewa nafasi nyeti zaidi ya hiyo et kwasababu ni mtoto wa mzee Yusuf! Tafuta kiki nyingine hiyo imebuma.
 
Januari Januari! U are a big potato in the Govt farm, umeshindwa kumhudumia mzee wako apate matibabu stahiki? Unasubiri yatokee mambo gani ndipo umsaidie? Usianze kuwalaumu CCM while hata ww uwezo unao na mzee Makamba ndiye aliyekufikisha hapo.

Suala la CCM lifuate baadae baada ya wewe na familia kushindwa. Umemsahau mzee Ngoma wa Tanzanite? Mzee awe na thamani kubwa kwako kabla ya chama. Halafu wewe ni m-NEC kwa nini usimfikie hata mkiti wenu umpe duku duku za mzee wako, au yeye aonane na mkiti, katibu au mzee Kikwete?

Na nyie CCM kuweni na tamaduni za kuwajali waliowafikisha hapo sio mpaka mvuliwe nguo kweupe!!
mnaanza kufungana kengele?
 
kumbe ccm unapewa cheo kutokana na undugu asante sana kwa kulijua hilo siyo unapewa cheo kutoka na kizomo na uwezo wako kweli ccm ni janga lakitaifa
Wasomi ni wengi nafasi ni chache.......unakumbuka hapo Ufipa Zitto na dadaye, Tundu na dadaye, Slaa na mkewe, Ndesa na mwanae plus mkwe na Mbowe na kimada wote full ubunge!!
 
Unapewa nafasi mpaka uwaziri halafu bado unalalamika baba yako chama hakimsaidii unamaana gani uwaziri wako.
 
Back
Top Bottom