Recent content by mkandi

  1. mkandi

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Rais Magufuli awatunuku Kamisheni maafisa wapya 422, atangaza nafasi 3000 za wanajeshi wapya

    Nafikiri ni hao waliopewa nafasi baada ya tukio wakidai wamejiuzulu u diwani.
  2. mkandi

    JamiiForums Tanzania Nmepimishwa HIV/AIDS kwa lazima

    Kama kuna kitu tuko nyuma kama watanzania ni kuhusu Elim ya afya ya jamii. Vitu vidogo mpaka uulize hospitali au kwa mtaalam. Tunatakiwa tuwe na BP machine nyumbani, thermometer, glucometer, chati za BMI nk kama basic home items
  3. mkandi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kinamliza mwanamke kitandani?

    Kuna jamaa aliwahi kushauri kuwa kundi hilo ni wale wanaojua WHAT IS LIFE, na wamejifunza kwa namna moja au nyingine na mistake walizofanya. Na kwamba ni wavumilivu na akili pevu, sio umiza kichwa. What do you comment on that.
  4. mkandi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kinamliza mwanamke kitandani?

    Why..
  5. mkandi

    JamiiForums Tanzania Updates: Mdahalo wa Wagombea Urais CCM - Julai 05, 2015 via Star TV

    Swali :Wanaongelea kujipanga na mikataba mipya ya gas, Je wakiwa Marais watashughuli kiaje mikataba mibovu iliyowekwa?
  6. mkandi

    JamiiForums Tanzania Wembamba huu unanifanya nijihisi dhaifu na mpweke sana

    DO 2de A; BMI yako iko chini, unapaswa kuongezeka. -Kutokana na comment yako hapo juu, nachelea kuhisi pengine una tatizo la nyongo. Ndio maana unapata Steatorrhea (una harisha mafuta) Hebu check rangi ya 'choo' chako. Je ni gray or pale? Nenda hospital, waweza agizwa kupima vipimo mahsusi...
  7. mkandi

    JamiiForums Tanzania Kikokotozi (calculator) ya kupata ushuru TRA kwa kila gari linaloagizwa kutoka nje (Imported Cars)

    Mkuu, Naomba kusaidiwa jinsi ya kuitumia. Siewelewi wapi naweka nini. In $ or Tsh. Najua ni kazi kunielewesha, but jitahidi Mkuu
  8. mkandi

    JamiiForums Tanzania Ntalikwepaje zimwi hili kutoka Japan?

    Dah umenipa shortcut nzuri. Jf haijawahi kosa uniqueness
  9. mkandi

    JamiiForums Tanzania Ntalikwepaje zimwi hili kutoka Japan?

    Ahsante sana
  10. mkandi

    JamiiForums Tanzania Ntalikwepaje zimwi hili kutoka Japan?

    Ahsante mkuu. So naweza negotiate nao kuhakiki kama gari iliyobandikwa kwenye page ni yenye engine husika! Coz hua naona reply zao ziko more 'automated'
  11. mkandi

    JamiiForums Tanzania Ntalikwepaje zimwi hili kutoka Japan?

    Nataka kununua Mark 2 Grande kutoka Japan. Tatizo nililonalo, sijui nawezaje kuchagua aina ya engine (eg D4, vvti) wakati wa kuagiza esp kupitia befoward ambao niliwahi kuwatumia last time. Tafadhali msaada wadau, kwani ningependa kulikwepa zimwi linyonya mafuta (D4, kama nisikiavyo kwa wadau)...
  12. mkandi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kakobe katumia sayansi gani umeme usipite kanisani kwake?

    Hakuna uongo wowote mkuu. No namna unavyoweza ghamua. Only Story ya kale inaweza athiriwa na:- 1)technology/nyakati. Mfano: Babu zetu walisema mtoto akianza kuota meno, anaharisha. Lakini leo tunajua sababu ya kuhara. Hivyo tumebadilisha statement. 2)Lugha iliyotumika.biblia imeandikwa...
  13. mkandi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kakobe katumia sayansi gani umeme usipite kanisani kwake?

    Hoja yako ni tofauti kabisa na Galileo. Uhakika uliopo ni jua lilisimama juu ya vichwa vya wanadamu. Whether ni matokeo ya jua kusimama ama dunia kusimama; lazima kimojawapo kilisimama.that's what we're interested of. Explanation zitaendelea kubadilika kutokana na wakati, but TUKIO litabakia...
  14. mkandi

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuendesha Serikali ya Muungano

    Serikali 3 haitafutwi kwasababu itakua nafuu kiuchumi, ila kwasababu ni matakwa ya wananchi wanzbr. Nchi zote zimekua huru kwa lengo tu la kujitawala. Pengine kiuchumi ingefaa zaidi kubak na waingereza/waOman. serikali 3 ilikua ni busara ya ku_harmonize kundi kubwa la wasiotaka muungano. Haikua...
  15. mkandi

    JamiiForums Tanzania MAKWAIA,umeamua kuwa MNAFIKI !!

    Wageni wake wa kudumu ni ma lekcha ma_conservative; Sabato na Bashiru. Wazee wa Africanism. Wakiwa studio ni porojo za kudanganyana; bila kuongelea soln za modern Africa. tragedy of the commons
Back
Top Bottom