Tatizo tumbo husababisha mtu kukosa muelekeo,wenye akili zao walishaachana na huyo mzee siku nyingi..
Ndugu wana jamvi huyu mzee aneendesha kipindi cha Je,tutafika anaendesha kipindi au kampeni za ccm ?
Nijuavyo mwendesha kipindi anapokaribisha wageni yeye hawimzunzaji mkuu ila kutoa nafasi kwa wageni na kuwagawia muda wa kuzungumza lakini ukiangalia mzee Makwaia ktk kipindi chake yeye anaita watu waongee kama kijie cha wahuni tuu hakuna mada inayojengwa.
vNashauri kama mzee makwaia hawezi kuendesha kipindi kifungwe hakuna faida.Haiwezekani kila siku anaita watu wa mtazamo mmoja tuuuu!
Ili kipindi kiwe na mvuto na changamoto lazima uite watu wenye mitazamo tofauti vinginevyo mzee ameamua kuwa Mnafiki.ANAKERA.
Kumbe tatizo la huyu mzee mpaka mnamshambulia kutokuwa Chadema.
Pro-Chadema wengi wana ufinyu wa fikra wanataka kila mtu awe mfuasi wa Chadema.
Jengeni chama chenu kwa hoja na sera siyo matusi, Mzee Makwaia safi sana watanzania wapo pamoja na wewe hawa wapuuzi endelea kuwapuuza.

unafiki asili yake huyo mzee...Ndugu wana jamvi huyu mzee aneendesha kipindi cha Je,tutafika anaendesha kipindi au kampeni za ccm ?
Nijuavyo mwendesha kipindi anapokaribisha wageni yeye hawimzunzaji mkuu ila kutoa nafasi kwa wageni na kuwagawia muda wa kuzungumza lakini ukiangalia mzee Makwaia ktk kipindi chake yeye anaita watu waongee kama kijie cha wahuni tuu hakuna mada inayojengwa.
vNashauri kama mzee makwaia hawezi kuendesha kipindi kifungwe hakuna faida.Haiwezekani kila siku anaita watu wa mtazamo mmoja tuuuu!
Ili kipindi kiwe na mvuto na changamoto lazima uite watu wenye mitazamo tofauti vinginevyo mzee ameamua kuwa Mnafiki.ANAKERA.
Ndugu wana jamvi huyu mzee aneendesha kipindi cha Je,tutafika anaendesha kipindi au kampeni za ccm ?
Nijuavyo mwendesha kipindi anapokaribisha wageni yeye hawimzunzaji mkuu ila kutoa nafasi kwa wageni na kuwagawia muda wa kuzungumza lakini ukiangalia mzee Makwaia ktk kipindi chake yeye anaita watu waongee kama kijie cha wahuni tuu hakuna mada inayojengwa.
vNashauri kama mzee makwaia hawezi kuendesha kipindi kifungwe hakuna faida.Haiwezekani kila siku anaita watu wa mtazamo mmoja tuuuu!
Ili kipindi kiwe na mvuto na changamoto lazima uite watu wenye mitazamo tofauti vinginevyo mzee ameamua kuwa Mnafiki.ANAKERA.
Mzee Makwaia endelea kukaza hivyo hivyo. Unaambiwa siku zote ukiona adui anasema acha kufanya jambo fulani, basi inabidi uzidishe kufanya jambo hilo hilo maradufu.
Binafsi navutiwa sana na mijadala yake na uwa sikikosi kipindi cha huyo mzee. Na kwa sasa ni moja ya vipindi ambavyo vimepata udhamini mkubwa wa makampuni makubwa nchini. Just for the record.
Namkubali sana huyo mzee. Mungu ampe maisha marefu, mambo anayoeleza ni kwa faida yetu wote na anaitakia mema nchi ya Tanzania.
Hiyo Tanganyika mnayoitaka kamwe haitokuja
Kumbe tatizo la huyu mzee mpaka mnamshambulia kutokuwa Chadema.
Pro-Chadema wengi wana ufinyu wa fikra wanataka kila mtu awe mfuasi wa Chadema.
Jengeni chama chenu kwa hoja na sera siyo matusi, Mzee Makwaia safi sana watanzania wapo pamoja na wewe hawa wapuuzi endelea kuwapuuza.
Of koz sad people will continue to watch this tactless piece of sh.. but serious & analytical audience will always shy away from this nonsensical mzee. And it aint at all related to partism..u muppets!Mzee Makwaia endelea kukaza hivyo hivyo. Unaambiwa siku zote ukiona adui anasema acha kufanya jambo fulani, basi inabidi uzidishe kufanya jambo hilo hilo maradufu.
Binafsi navutiwa sana na mijadala yake na uwa sikikosi kipindi cha huyo mzee. Na kwa sasa ni moja ya vipindi ambavyo vimepata udhamini mkubwa wa makampuni makubwa nchini. Just for the record.
Mzee Makwaia endelea kukaza hivyo hivyo. Unaambiwa siku zote ukiona adui anasema acha kufanya jambo fulani, basi inabidi uzidishe kufanya jambo hilo hilo maradufu.
Binafsi navutiwa sana na mijadala yake na uwa sikikosi kipindi cha huyo mzee. Na kwa sasa ni moja ya vipindi ambavyo vimepata udhamini mkubwa wa makampuni makubwa nchini. Just for the record.
Haha..viewers wamekuwa maadui tena..nadhani hujui businee aliyopo huyu mzee...kukosa viewer kunamfanya akose thamani..na kupoteza viewers ni ishara kuwa nafany kitu wrong na kisicho na ushawishiMzee Makwaia endelea kukaza hivyo hivyo. Unaambiwa siku zote ukiona adui anasema acha kufanya jambo fulani, basi inabidi uzidishe kufanya jambo hilo hilo maradufu. Binafsi navutiwa sana na mijadala yake na uwa sikikosi kipindi cha huyo mzee. Na kwa sasa ni moja ya vipindi ambavyo vimepata udhamini mkubwa wa makampuni makubwa nchini. Just for the record.