Recent content by mkananguja

  1. mkananguja

    Naomba msaada kuhusu Usafiri wa kutoka Dar - Lushoto

    Post ngapi tunaziona JF mbona hatuulizani kuwa ukipangiwa kwenda kusoma ulaya itakuwa hivi Duuuuh Kama huwezi kujiheshimu sidhani kama utaheshimika Ngoja nitoe andiko langu
  2. mkananguja

    Naomba msaada kuhusu Usafiri wa kutoka Dar - Lushoto

    Huko kwenu hamsaidiani??? Acha uenyeji cc ni watanzania kama wewe ni mmalawi Sawa kushindwa kuchangia kafanye kazi uloizoea pia asiyeuliza Hana ajifunzalo halafu ninawasiwasi na hekima zako
  3. mkananguja

    Naomba msaada kuhusu Usafiri wa kutoka Dar - Lushoto

    Haaaaahaaaaa lushoto kuna changamoto nyingi??
  4. mkananguja

    Naomba msaada kuhusu Usafiri wa kutoka Dar - Lushoto

    Ahsante sana najisikia furaha kwa uhakika wa usafir
  5. mkananguja

    Naomba msaada kuhusu Usafiri wa kutoka Dar - Lushoto

    Nashukur na Sasa ninamatumain kuwa uhakika wa usafir ni mkubwa
  6. mkananguja

    Naomba msaada kuhusu Usafiri wa kutoka Dar - Lushoto

    Naomba msaada kwa wazoefu wa wilaya ya Lushoto mie nimechaguliwa kujiunga na advance Kwemaramba. Sasa sijui kampuni za mabasi ya kwenda Lushoto tokea Dar, mie nipo kusini mwa Tanzania na vip ni mbali sana kilometa zake au ni sawa tu na Mtwara kwetu?
  7. mkananguja

    Halmashauri ya Lushoto na jiografia yake

    Naomba kufahamishwa halmashauri ya wilaya lushoto ni Kata ipi ina jiografia nzuri na ina miundombinu safi ya kufika wilayan na jiografia ninayosema ni uwepo wa ardhi ya kilimo na huduma za msingi 0629088763
  8. mkananguja

    Mshahara wa mwezi April umeshatoka?

    NAOMBA KUJULISHWA NAMNA YA KUPOST TAARIFA JAMII FORUM 0629088763 AU mtumishi anayejua vizur jiografia YA lushoto kuhusu mambo kadha# 1= fursa za kilimo hasa Kata ya mlola 2=huduma za kijamii hasa maji, umeme, na miundombinu ya barabara 3=usafir wa mlola -Lushoto hadi nje ya wilaya 4=uwepo wa...
  9. mkananguja

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Naomba kuuliza maswali mawili 1) ni lini mtaingiza station za radio za Tanzania maana watumiji cc ni watanzania 2) kwanini ving 'amuzi vingine vina lugha ya kiswahili na vingine vina kifaransa na kiingeraza tu??? 0629088763
  10. mkananguja

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo mtwara nije mby, njombe, au T.A Tanga
  11. mkananguja

    Kubadilisha kituo cha kazi

    halmashauri ya TANDAHIMBA MTWARA
  12. mkananguja

    Kubadilisha kituo cha kazi

    mie MWL idara msingi natafuta MWL wa kubadilishana nae toka mikoa ya njombe,tanga, au mbeya mie nipo tandahimba mtwara mawasiliano 0753884902
Back
Top Bottom