Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Upande wa vifurushi vyenu star times sijawapata kabisa yaani nimeweka 8000 eti wiki moja tu kifurushi kimekata,yaani nyie wazee hapa mnaboa mtatufanya turudi kwenye series za kikorea tu maana mnatuongezea ukali wa maisha.
 
Mi ni waulize tu Swali Kwann nyinyi mko juu ya serikal au maana tcra wanasema zile channel tano muhmu ni bure Lakini bado hamtaki kurudisha kuna tatzo gani hebu toleeni ufafanuz juu ya hili tafadhari maana naona kabisa kuna kila Dalili ya ukaidi kwa hili
 
King'amuzi chenu sio kabisa!
IMG_20171211_064745.jpg

Hamkusikia kauli ya tcra?
 
Nmenunua king'amuzi chenu 4/11/2017 nikaambiwa kuwa kuna ofa ya mwezi mmoja ila mpaka leo napata local channels tu, je ofa ni kwa hizi local tu? au taarifa niliyopewa ni wrong. na kama ofa inakuwa channels zote kwanini mi sizipati?. Yaani zinakataa hadi nizilipie. Naomba ufafanuzi.
Mi nishawatema hawa jamaa, mvua ikinyesha kidogo scratch za kufa mtu,na malipo yao kwa sisi hohe hae elfu 10 kwa wiki 2, nimennua Dstv kwa mwezi 19,000 cheap kuliko hayo mastartimes, Dstv picha ziko clear na channel ni nyingi sana kasoro eatv tu.

Amka Mkuu achana na wachina
 
Mi ni waulize tu Swali Kwann nyinyi mko juu ya serikal au maana tcra wanasema zile channel tano muhmu ni bure Lakini bado hamtaki kurudisha kuna tatzo gani hebu toleeni ufafanuz juu ya hili tafadhari maana naona kabisa kuna kila Dalili ya ukaidi kwa hili

Habari yako kwabwina pole sana kwa usumbufu unaoupata

Startimes tuna ving'amuzi vya aina mbili cha kwanza ni "FTA decoder" bei ya king'amuzi hiki ni Shilingi 89,000, ukiwa na king'amuzi hiki utafurahia chaneli zote za ndani bure kwa muda wote, hii ni kwa mujibu wa sheria na muongozo toka kwa mamlaka husika ikiwemo TCRA.

Kutokana na gharama ya 89,000 kuonekana kubwa na watu wengi kushindwa kuimudu, na ili kuhakikisha kila mtanzania anafurahia huduma ya Television bila kujali uwezo wake startimes kwa kuzingatia maombi na pia maoni toka wa wateja iliamua kupunguza bei ya ving'amuzi na kuwa na kingamuzi chenye bei maalumu, startimes ikaweka ving'amuzi vyenye bei maalumu 'STARTIMES SUBSDIZED DECODER', bei yake ni bei ya chini kulinganisha na bei ya soko (unalipia shilingi 34,000 kupata king'amuzi hiki, hii 34,000 ni hela ya huduma tu) , lengo kubwa ni kuhakikisha mteja anapata na king'amuzi kwanza. kupitia king'amuzi hiki mteja analipia gharama ya huduma tu ambayo anaweza kulipia kwa siku, wiki au mwezi ili kupata chanel za ndani na chaneli za nje.

Lakini baadae mteja mwenye king'amuzi hiki 'SUBSDIZED DECODER' akipata fedha anaweza kukibadilisha kuwa king'amuzi cha FTA, mteja anaweza kukibadilisha kwa kufika katika duka letu la startimes lililo karibu yake na kulipia 'PRICE DIFFERERENCE' (Tofauti ya bei kati ya SUBSDIZED Decoder na FTA Decoder) yaani 89,000-34,000 ambayo ni 55,000. ukifanya hivyo utakuwa sawa na aliyenunua king'amuzi cha FTA utafurahia chanel zote za ndani bure muda wote.

Startimes tumekuwa tukijitahidi kuwaeleza wateja wetu kabla hawajanunua ving'amuzi vyetu, tofauti ya ving'amuzi hivyi ili kumpa nafasi mteja kufanya chaguo sahihi, lakini tumekuwa tunapata changamoto nyingi sokoni kwani mawakala na maagenti wetu wengi hawatoi taarifa hizi kwa wateja ipasavyo. Tafadhahari tunaomba radhi kwa usumbufu wowote ulioupata kama hukupata maelezo haya, Pia tunakukaribusha katika duka la startimes kwa ajili ya kubadilisha king'amuzi chako kuwa cha FTA. Startimes tutaendelea kufuata sheria na mwongozo toka kwa mamlaka husika

Ahsante!
 
Habari zenu star times! Mimi naitwa Stanslaus kimpanti Niko moro, napenda kujua hapo awali mlikuwa mnatuachia chanels za ndani tbc1,startv,Chanel ten na ITV tunaangalia free baadaye sijui nini kilitokea, mkaziondoa ikabaki tbc1 pekee.

habari yko kabhosa tafadhari fika katika ofisi za startimes zilizokaribu yako utapa msaada jinsi ya kupata chanel hizo.
 
Kwa kupitia matangazo yenu tulilipia sh 5,000 ili kuweza kupata JTV. Kwa bahati mbaya/nzuri hamkutimiza ahadi yenu na hadi leo wakazi wa mikoani hatuna access na hiyo JTV. Tunasikitishwa sana na udanganyifu mliotufanyia na kuwataka muwe wastaarabu katika biashara yenu vinginevyo wengine tutaachia ngazi.

habari yako KUTATABHETAKULE pole sana kwa usumbufu ulioupata, startimes tunapenda wateja wetu wote wafurahie huduma zetu, ila kutokana na makubaliano baina yetu na wamiliki wa chanel husika huwa baadhi ya chanel zinapatikana mikoa kadhaa tu. kwa sasa JTV kulinganana na makubaliano yetu na wamiliki inapatikana mkoa wa Dar es Salaam tu, tunajitahidi kufikisha maoni yako kwa wahusika ili iweze kupatikana maeneo mengine zaidi
 
habari yako tafadhari tutumie namba yako ya account!

ahsante
Mkuu, nilinunua decoder yenu miaka ile ya kusema ikiisha ofa inayokuja nayo utabaki na local channels.

Ikaja local channels zikawa za kulipiwa nikaifungia ndani decoder kwa muda mkubwa tu.

Tangu wiki hii kila nikiunganisha na TV naambiwa no signal, nimehamisha antena bado inanifanyia hivyo.

Yawezekana kule kukifungia ndani imefanya decoder kua inactive? Mnanishauri nifanyeje ili niweze kutumia upya hii decoder?

PS: Sijawahi kujiunga na kifurushi chochote.
 
Nakushukuru kwa majibu yako ambayo yamethibitisha ukweli wa mambo ya kwamba taarifa tuliyokuwa tumepewa haikuwa sahihi. All the same, asante.
 
Mkuu, nilinunua decoder yenu miaka ile ya kusema ikiisha ofa inayokuja nayo utabaki na local channels.

Ikaja local channels zikawa za kulipiwa nikaifungia ndani decoder kwa muda mkubwa tu.

Tangu wiki hii kila nikiunganisha na TV naambiwa no signal, nimehamisha antena bado inanifanyia hivyo.

Yawezekana kule kukifungia ndani imefanya decoder kua inactive? Mnanishauri nifanyeje ili niweze kutumia upya hii decoder?

PS: Sijawahi kujiunga na kifurushi chochote.

habari yako, Castr, poles sana, 'no signal' inamaana haupokei mawimbi hii inaweza kuwa imesababishwa na ufungaji mbaya wa antena yako au uelekeo usio sawa, tafadhari tunaomba utupatie smart card yako na utujulishe unaishi wapi tutatuma mafundi wetu waje wakusaidie. au tutumie namba zako za mawasiliano DM

ahsante
 
Naomba kuuliza maswali mawili 1) ni lini mtaingiza station za radio za Tanzania maana watumiji cc ni watanzania 2) kwanini ving 'amuzi vingine vina lugha ya kiswahili na vingine vina kifaransa na kiingeraza tu??? 0629088763
 
habari yako tafadhari tutumie namba yako ya account!

ahsante
Hizo channel fungue! Mm kukutumieni namba ya smartcard haitatokea hata siku moja! Hii ni black chat! Kwani hamjui chamnel ganinatakiwa kuzifungua!

Mkiona tu king'amuzi ambacho hakijalipiwa kwa mda wa mwezi ndio hicho! Kifungueni!
 
Habari yako kwabwina pole sana kwa usumbufu unaoupata

Startimes tuna ving'amuzi vya aina mbili cha kwanza ni "FTA decoder" bei ya king'amuzi hiki ni Shilingi 89,000, ukiwa na king'amuzi hiki utafurahia chaneli zote za ndani bure kwa muda wote, hii ni kwa mujibu wa sheria na muongozo toka kwa mamlaka husika ikiwemo TCRA.

Kutokana na gharama ya 89,000 kuonekana kubwa na watu wengi kushindwa kuimudu, na ili kuhakikisha kila mtanzania anafurahia huduma ya Television bila kujali uwezo wake startimes kwa kuzingatia maombi na pia maoni toka wa wateja iliamua kupunguza bei ya ving'amuzi na kuwa na kingamuzi chenye bei maalumu, startimes ikaweka ving'amuzi vyenye bei maalumu 'STARTIMES SUBSDIZED DECODER', bei yake ni bei ya chini kulinganisha na bei ya soko (unalipia shilingi 34,000 kupata king'amuzi hiki, hii 34,000 ni hela ya huduma tu) , lengo kubwa ni kuhakikisha mteja anapata na king'amuzi kwanza. kupitia king'amuzi hiki mteja analipia gharama ya huduma tu ambayo anaweza kulipia kwa siku, wiki au mwezi ili kupata chanel za ndani na chaneli za nje.

Lakini baadae mteja mwenye king'amuzi hiki 'SUBSDIZED DECODER' akipata fedha anaweza kukibadilisha kuwa king'amuzi cha FTA, mteja anaweza kukibadilisha kwa kufika katika duka letu la startimes lililo karibu yake na kulipia 'PRICE DIFFERERENCE' (Tofauti ya bei kati ya SUBSDIZED Decoder na FTA Decoder) yaani 89,000-34,000 ambayo ni 55,000. ukifanya hivyo utakuwa sawa na aliyenunua king'amuzi cha FTA utafurahia chanel zote za ndani bure muda wote.

Startimes tumekuwa tukijitahidi kuwaeleza wateja wetu kabla hawajanunua ving'amuzi vyetu, tofauti ya ving'amuzi hivyi ili kumpa nafasi mteja kufanya chaguo sahihi, lakini tumekuwa tunapata changamoto nyingi sokoni kwani mawakala na maagenti wetu wengi hawatoi taarifa hizi kwa wateja ipasavyo. Tafadhahari tunaomba radhi kwa usumbufu wowote ulioupata kama hukupata maelezo haya, Pia tunakukaribusha katika duka la startimes kwa ajili ya kubadilisha king'amuzi chako kuwa cha FTA. Startimes tutaendelea kufuata sheria na mwongozo toka kwa mamlaka husika

Ahsante!
Nashukuru kwa huu ufafanuzi wenu, mie naishi Kigoma na king'amuzi chenu nimenunulia hapa hapa Kigoma kwenye duka la mhindi japo sijajua kama ni wakala wenu, jana nimemrudishia decoder ili anipe hiyo yenye free channel cha ajabu kaniambia decoder zote ni sawa hamna tofauti, utofaut ni dish na antenna tu.

Sasa nifanyeje niweze pata hiyo decoder yenye free channel?
 
Habari yako kwabwina pole sana kwa usumbufu unaoupata

Startimes tuna ving'amuzi vya aina mbili cha kwanza ni "FTA decoder" bei ya king'amuzi hiki ni Shilingi 89,000, ukiwa na king'amuzi hiki utafurahia chaneli zote za ndani bure kwa muda wote, hii ni kwa mujibu wa sheria na muongozo toka kwa mamlaka husika ikiwemo TCRA.

Kutokana na gharama ya 89,000 kuonekana kubwa na watu wengi kushindwa kuimudu, na ili kuhakikisha kila mtanzania anafurahia huduma ya Television bila kujali uwezo wake startimes kwa kuzingatia maombi na pia maoni toka wa wateja iliamua kupunguza bei ya ving'amuzi na kuwa na kingamuzi chenye bei maalumu, startimes ikaweka ving'amuzi vyenye bei maalumu 'STARTIMES SUBSDIZED DECODER', bei yake ni bei ya chini kulinganisha na bei ya soko (unalipia shilingi 34,000 kupata king'amuzi hiki, hii 34,000 ni hela ya huduma tu) , lengo kubwa ni kuhakikisha mteja anapata na king'amuzi kwanza. kupitia king'amuzi hiki mteja analipia gharama ya huduma tu ambayo anaweza kulipia kwa siku, wiki au mwezi ili kupata chanel za ndani na chaneli za nje.

Lakini baadae mteja mwenye king'amuzi hiki 'SUBSDIZED DECODER' akipata fedha anaweza kukibadilisha kuwa king'amuzi cha FTA, mteja anaweza kukibadilisha kwa kufika katika duka letu la startimes lililo karibu yake na kulipia 'PRICE DIFFERERENCE' (Tofauti ya bei kati ya SUBSDIZED Decoder na FTA Decoder) yaani 89,000-34,000 ambayo ni 55,000. ukifanya hivyo utakuwa sawa na aliyenunua king'amuzi cha FTA utafurahia chanel zote za ndani bure muda wote.

Startimes tumekuwa tukijitahidi kuwaeleza wateja wetu kabla hawajanunua ving'amuzi vyetu, tofauti ya ving'amuzi hivyi ili kumpa nafasi mteja kufanya chaguo sahihi, lakini tumekuwa tunapata changamoto nyingi sokoni kwani mawakala na maagenti wetu wengi hawatoi taarifa hizi kwa wateja ipasavyo. Tafadhahari tunaomba radhi kwa usumbufu wowote ulioupata kama hukupata maelezo haya, Pia tunakukaribusha katika duka la startimes kwa ajili ya kubadilisha king'amuzi chako kuwa cha FTA. Startimes tutaendelea kufuata sheria na mwongozo toka kwa mamlaka husika

Ahsante!

Nyie waongo bhna hiyo taratibu mmeanza juzi juzi tu maana mimi nimenunua kisimbusi chenu tangu 2011 na nilikuwa napata huduma bure sasa ninyi kipindi hiko haya maneno yenu yalikuwaga wapi na hii sheria mmeanza kuifata mwezi wa 7 kwa hiyo na mmenikatia mwaka huu hii huduma hapo dhahiri hii sera yenu mmeanza mda si mrefu kutunyonya kwanini hamkusema tangu 2011 ebu acheni utapeli bhna tendeni haki basi na hiki kifaa sikununua hiyo 34000 yenu mbona nami mmenikatia huduma mnataka nilipe 55000 sasa siutakuwa wizi maana haingii akilini hiki mnachoongea hapa
 
Habari yako, kama ulinunua kingamuzi chako mwaka 2011 na ulikuwa unapata chanel hizi bure, tafadhari tembelea maduka ya startimes kwa msaada zaidi!
 
Nashukuru kwa huu ufafanuzi wenu, mie naishi Kigoma na king'amuzi chenu nimenunulia hapa hapa Kigoma kwenye duka la mhindi japo sijajua kama ni wakala wenu, jana nimemrudishia decoder ili anipe hiyo yenye free channel cha ajabu kaniambia decoder zote ni sawa hamna tofauti, utofaut ni dish na antenna tu. Sasa nifanyeje niweze pata hiyo decoder yenye free channel?

tafadhari tupatie namba zako za mawasiliano
 
Back
Top Bottom