Recent content by Mkamba20

  1. M

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini wasitisha utoaji wa chanjo ya Astra Zaneca

    chanjo wenyewe washaanza kua na wasiwasi sisi tusiwe na wasiwasi kisa tubapokea ARV?acheni bangi kwani tunapokea mangapi ila hii ina ukakasi mtuache tunazo ndimu na tangawizi tunatumia wajipange tena uzuri
  2. M

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini wasitisha utoaji wa chanjo ya Astra Zaneca

    Kuna wakati nilijiuliza wanasayansi waliingia maabara kutafuta chanjo ya corona ile ya wuhan c muda tukaambiwa kuna kirusi kipya uingereza na south africa lakini ajabu chanjo ndio ileile, c utapeli huu kwa mfano sasa south africa washaapokea chanjo kibao c hasara kwao.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu channel za ndani

    naomba wanajukwaa mwenye kujua atujuze .hivi channel za ndani zimefungwa kwa manufaa ya nani ?maana ukiwa kenya unaona ukiwa uganda unaona ukiwa maeneo mengi tu nje ya tanzania unazipata ila ukiwa tanzania tatizo linaanza kuna kitu gani hasa kinachoendelea na hii ni kwa manufaa ya nani ?hivi itv...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maji ni Mtego wa Umasikini (poverty trap)

    nafikiri kwa nyinyi wasomi inatakiwa muandike haya kila zikku lengo liwe kuikumbusha serikali wajibu wake lakini kukebehi ujenzi wa Barbara sioni kama ni sahihi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    Mohamed said hii ni stori nzuri mno imalizie tafadhali
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hongera mzee Bakhresaa, kijana Mohamed Dewji na mzee Mengi kwa Uzalendo

    kaazi kwelikweli kiukweli magufuli nyoosha tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa daraja la Kigamboni na tozo ya kupita darajani

    Sijafahamu kwa nn kuna malipo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali Tatu: Kamati Kuu Ya CCM Yamsulubu Dk Salim

    Mie simo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dunia ijadili chanzo cha ugaidi sio matokeo yake

    Mmhhh mie sisemi maana walinisemea wasambaa (mruka gemo aweea kigha)ila niseme marekani kigha chake kilikua kidogo na matunda yake kujifanya anaweZa ni haya yatokeayo sie kama kopo la taka kila kitu tunapokea poleni wakenya lakini choo mlichoingia hakiwafai mtacheka tu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutoa kichapo kwa askari wa bunge, Sugu atoa onyo kali kwa Ndugaii

    Binafsi simpongezi sugu kwa hayo maneno kwa maana kwangu namuona ni mbunge mjinga anayetamka maneno kama hayo ukiwa kama kiongozi wazungu, za hayo alo nje je? Huo ni ujinga mwerevu anarudi kufikiri nn kilitokea na afanye nn sio kuropoka kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii ni ujinga
  11. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wanamuonea Waitara au ni kiburi cha Heche?

    Mmmmh pazito lakini niseme kama ni kweli basi kuna tatizo na kinachonishangaza ww upo badala ya kuanza kumuambia au kumuelekeza heche pengine kateleza unakuja kulalamika jamii forums napatwa na wasiwasi kidogo kuna nn
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali hoi haina pesa,chuo cha afya Bombo(Tanga) kufungwa jumatatu

    Ina maana bavicha tu ndio wakosoaji wa serikali? Ajabu
  13. M

    JamiiForums Tanzania TUWACHAGUE SISI ALAFU SISI TUWE WATUMWA wao...

    Ni sisi ndio .......unajua na sisi tumezidi kuishi mawazo ya wanasiasa bila kujijua maana tunapelekeshwa kiasi wengine huamini ujinga kwamba flani akiwa kiongozi mm sina haja ya kufanya kazi na hicho ni kilema kinachotutaabisha watz
  14. M

    JamiiForums Tanzania Absalom Kibanda: Sasa sitaogopa kitu na sina cha kupoteza, nitafichua kila kitu

    Mvua inakunyeshea badala ya kujitafutia kikingio unamuachia mungu hahahaha yawezekana mgomba kuzaa mahindi muda ni jibu karibu
Back
Top Bottom