Recent content by mkamanga original

  1. mkamanga original

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Utendaji mbovu wa Humphrey Polepole ndiyo sababu ya kuenguliwa

    kwani hoja za CAG zipo kwake tu, si kila taasisi wanazo, kwani anazo peke yake, hizo ni hoja mufilisi
  2. mkamanga original

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtalaam wa kutafuta simu zangu mbili zilizoibiwa

    Una maanisha nb?
  3. mkamanga original

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtalaam wa kutafuta simu zangu mbili zilizoibiwa

    Habari wadau Natafuta simu zangu mbili zilizoibiwa . Polisi waliniahidi kuwa zitapatikana lakini sasa nakaribia mwaka Ila niliambiwa wapo vijana wa IT wanauwezo wa kutrack simu na kuzipata. Naomba anayeweza aje inbox na naahidi zawadi nono itatolewa kwa sharti moja tu ya malipo ni baada ya...
  4. mkamanga original

    JamiiForums Tanzania SMS za kuhimiza kujiandikisha kupiga kura zimekuwa kero

    Wamtumie na Nape
  5. mkamanga original

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huchepuka?

    Kilichonifanya kuwa na mchepuko ni kutokana na wife kusema hawezi kunyonya na hatakuja fanya huo ujinga, nikapata mchepuko unaninyonya balaa na huu ni mwaka tatu . Nilichogungua wengi huchepuka kwa sababu ya kukosa baadhi ya huduma na wanaume huamua kuifuata nje
  6. mkamanga original

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnawasakama walimu? Mbona wana mishahara mikubwa kuliko kada zingine?

    Kaa kimya kama hujui , mkurugenzi akikituma kwenda kukagua vikundi lazima akilipe kwa sababu anakutoa nje ya kituo chako cha kazi, lakini pia semina
  7. mkamanga original

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia wale jamaa hawatishiwi!

    Nimemkumbuka mwimbaji wa para panda Italia ,para panda
  8. mkamanga original

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

    Tusubiri wachambuzi wa hotuba za viongozi
  9. mkamanga original

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ama kweli, kua uyaone: Nimeshangaa kusikia hili

    Wadada mpaka saa hizi hatuwaoni, sijui wako wapi akina faidha fox
  10. mkamanga original

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ama kweli, kua uyaone: Nimeshangaa kusikia hili

    Sasa si bado hatujakubaliana, unampigaje sasa. Mpaka tukubaliane halafu ndio
  11. mkamanga original

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ama kweli, kua uyaone: Nimeshangaa kusikia hili

    Sawa kiongozi
Back
Top Bottom