Recent content by mkalmoyo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

    @WIZARA YA AFYA-TANZANIA jamani kwa wale waliopo CHUNYA MBEYA Tupeni neno nimesikia kuwa kuna mchna sijui kadanja na mmoja kapelekwa hospital kwa kuhofia kuwa huenda ni COVID-19 hivyo hatutaki kuwachanganya watu tupeni ukweli TAFADHALI AU WASILISHA TAARIFA KAMILI KWA WIZARA HUSIKA
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lissu anapotumia mgongo wa Rais Magufuli kutaka kuendelea kuwa juu kisiasa

    Mzee hiviiiiii yashawahi kuikuta maswaibu makubwa family yako na ukaanza kumlaumu hadi mungu Ila suala la lissu hakika walohusika Kama wapo wanaishi hakika kwa Mungu si kwa mzungu Wanaccm acheni kupotosha umma wambieni watu ukweli ilikuwaje na kwanini albadiri zilizuiliwa na kwanini...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu nimefanikiwa kuachana na pombe na wanawake

    God is good all the time
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Hospital mtu asikuambie
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Sugu yaahirishwa hadi Februari 8, baada ya mawakili watatu wa utetezi kujitoa

    Asante Kwa kunisaidia kuuliza
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Sugu yaahirishwa hadi Februari 8, baada ya mawakili watatu wa utetezi kujitoa

    Pesa inanguvu lakinii akili nyingi ni siraha hata ya kuiua Pesa sasa wakimfunga wapata nini au unataka ubunge/udiwani /dc
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Sugu yaahirishwa hadi Februari 8, baada ya mawakili watatu wa utetezi kujitoa

    Siasa ilishaingia kitaambo huwezi kulikwepa upo hapo na kama sio Siasa why wako ndani
  8. M

    JamiiForums Tanzania Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

    Niko under the world [emoji288] karibu no uhai wa ardhi Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

    Am under the world Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

    Am under the world Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania Shaka: Lissu si mkweli, Abeid Karume, Dr. Kleruu na Mahinda walishambuliwa kwa risasi

    Sio wote mbumbumbu wengine waelewa Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Shaka: Lissu si mkweli, Abeid Karume, Dr. Kleruu na Mahinda walishambuliwa kwa risasi

    Daah mwamba usikurupuke fatilia Kwa makini kabla hujapost jambo daah unakera Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kyaka, Kagera: Rais awapiga marufuku viongozi wanaowazuia wananchi kulima kandokando ya mito

    Hakika upinzani lazima utokomezwe na njia za kuutokomeza ndio hizoo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Manji anakomolewa, sasa anyang'anywa hisa zake za Tigo na Serikali

    Daaah that is so great my big broder Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom