Kyaka, Kagera: Rais awapiga marufuku viongozi wanaowazuia wananchi kulima kandokando ya mito

Baadae anapanda jukwaani "Maendeleo hayana chama, msema kweli mpenzi wa Mungu" Huku Mbeya watu wamezuiliwa wasilime wameambiwa wanaharibu vyanzo vya maji
 
Mm niliwakataza chadema wasisome al-badir wakakataa matokeo yake sasa ni hayo mzee wa watu kimeanza kuwaka
 
Baadae anapanda jukwaani "Maendeleo hayana chama, msema kweli mpenzi wa Mungu" Huku Mbeya watu wamezuiliwa wasilime wameambiwa wanaharibu vyanzo vya maji
Huwa huzungumzii mungu wa daudi,huwa anamsema mungu wa india
 
e506b4dd66b21e4741b7f5ec1ca03372.jpg
 
Heshima kwenu wakuu,

Nmeshangaa kuona rais Magufuli akiwaruhusu watu kulima kwenye vyanzo vya maji na kuwapa hela kwamba ni wazalendo wachapa kazi. Kamuachia maagizo mkuu wa Wilaya wasiwabugudhi.

Hayo yanejiri baada ya hivi karibuni Freeman Mbowe kuharibiwa shamba lake la mbogamboga kwamba alilima sehemuoevu.

Hii inawachanganya Watendaji na Wananchi. Bwana Shamba alishawakataza. Huku Hai mambo ni tofauti.

Je ni kweli Wanasiasa wa Upinzani wananyanyaswa au wanaonewa?

Mwanza watu wamekatazwa kubomoreshwa kisa walimpa kura wakati wale wa Kimara waliompa kura Lowassa wakibomolewa nyumba zao.

Pengo amebariki yote haya....hakuna atakayekusikiliza mkuu!
 
Kenge asante sana,

Wacha walime hata mpaka kwenye vyanzo vya maji na hata kama maji hakuna, msiwakataze wacha maji yakija yachukue mazao yao.

Asante Magu, Nilichogundua ni kwamba ni watu wawili tofauti endapo akiwa ofisini akitoa maagizo na yule awapo site.
 
Huyu uchwara ana roho mbaya sana na ni mtu hatari sana. Maamuzi yake hayaeleweki hata chembe. Mfano mwingine ni issue za Bashite.

Heshima kwenu wakuu,

Nmeshangaa kuona rais Magufuli akiwaruhusu watu kulima kwenye vyanzo vya maji na kuwapa hela kwamba ni wazalendo wachapa kazi. Kamuachia maagizo mkuu wa Wilaya wasiwabugudhi.

Hayo yanejiri baada ya hivi karibuni Freeman Mbowe kuharibiwa shamba lake la mbogamboga kwamba alilima sehemuoevu.

Hii inawachanganya Watendaji na Wananchi. Bwana Shamba alishawakataza. Huku Hai mambo ni tofauti.

Je ni kweli Wanasiasa wa Upinzani wananyanyaswa au wanaonewa?

Mwanza watu wamekatazwa kubomoreshwa kisa walimpa kura wakati wale wa Kimara waliompa kura Lowassa wakibomolewa nyumba zao.

Je ni kweli Wanasiasa wa Upinzani wananyanyaswa au wanaonewa?
 
Mbowe alilima kwenye chanzo cha maji, hao aliowasemea Rais hawajalima kwenye chanzo cha maji.
Kazi sana ukiwa na hulka ya kulalamika lalamika, kama mke, mume atabwaga, kama mume, mke atachanganyikiwa kama kweli ana dume...
 
Back
Top Bottom