Kuweni serious nyie kwa uzoefu wangu Laundry Business ni nzuri lkn ujipange naona soon utaingizwa cha kike mtaji inabadirika depending on the location minimum capital 5m weka mezani
Kuwa supportive wife lkn pia kaa kwenye nafasi yako kama mke yanayo kuhusu kama mke na yalio ya mume mwachie mume afanye lkn kubwa zaidi mjue na kumeelewa aina ya mwanaume uliye naye vipaombele vyake na vitu anavyo vipendelea zaidi sisi wanaume kuna mambo ni common kwetu lkn machache tunapishana
Ubahili ni nini ?
Ni ile hali ya kuelekeza pesa kwenye mambo ya msingi na yenye ulazima.
Binafsi marakadhaa wadada wananiita bahiri lkn sioni ubahili wangu uko wapi maan nikweli nafahamika lkn je napaswa kumnunulia kila anae niomba yani ukitamani soda wewe nighalamie mm ukiishiwa vocha wewe...
Mm nadhani shida sio CHADEMA kwenda kwenye maridhiano bali dhamira ya maridhiano ipo kweli?
Je mara ngapi wamewahi kukubaliana mambo na nini kilitokea?
Ni rahisi CCM na CHADEMA wakakaa na kufanya maridhiano yakawa na manufaa kwa wengi kuliko CCM wakakaa na UDP ni sawa na hakuna hivyo CHADEMA sio...
Yani huu ufinyu wa akili umekuwa kikwazo sana yani jamii yetu inaamini secretary anae lipwa laki nne ni bora kuliko Dobi mwenye Laundry anaingiza 1.5m monthly
Acha watupige tu mpaka akili zitukae sawa kisheria CAG ndio jicho la mwananchi lkn mbele ya wanasiasa anaonekana kama mropokaji report ya CAG pekee inatosha kutushawishi tukaandamana lkn huo ujasiri haupo
Huu ni uhuni tu tangu kini shabiki wa Yanga akaiyombea Simba mazuri au shabiki wa Simba akaiyombea Yanga mema?
Kinacho shangaza ni kuwa mashabiki wa Simba ndio wanapambana Mzinze auzwe wakati huo wanajua fika ukifanikiwa kufika robo final tu ya Champions League unakutana na vigogo ambao ndio...
Huu ndio ukweli hii nchi ni yetu sote na wote tunapenda ustawi na tunajivunia hili taifa madaraka walio nayo watawala ni kwaajili ya ustawi wa Taifa hili na vizazi vyetu na sio kuonea wengine na kupora haki zao haikuzoeleka kwenye jamii yetu kushangiria msiba lkn ukosefu wa haki ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.