Recent content by MKAGUZI MKUU

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA hawajafanya jambo la busara

    Bungeni hawatasusa kwa sababu kuna posho
  2. M

    JamiiForums Tanzania Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

    nenda katika ofisi ya afisa elimu wa mkoa wako utaipata
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake: "Humalizi tu, mimi nimechoka"

    Kufunga?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ya jino

    acha uwoga kijana!mimi nimeng'oa meno 3 ya juu cjafa!kama limeharibika kang'oe au ufanyiwe root canal
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huduma NHIF Temeke hospital mbovu

    Ni zaidi ya saa 1 tupo katika foleni kusubiri mtoa dawa!haileweki ni nani na yupo wapi wahudumu wanaingia na kutoka!hospitali za serikali ni hovyo tu sasa hii ni hospitali ya wilaya huko katika zahati hali ikoje?tena kuna mgonjwa kaletwa katika machela anayemsaidia ni ndugu yake wahudumu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania NECTA mnaboa kwa hili

    Nenda necta makao makuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nitafuta kazi ya kufundisha maeneo ya Kibaha, nimesoma PCB

    Kasome ualimu kama unataka kazi ya kufundisha!mbona hutafuti kazi ya udaktari wakati umesoma pcb?
Back
Top Bottom