Recent content by MK254

 1. MK254

  Duh! Tanzania yenye watu milioni 60, ina wataalam 3.3%.......kazi bado sana tu

  Hehehe!! Huyo si ni yule mzee wa Yanga?
 2. MK254

  Duh! Tanzania yenye watu milioni 60, ina wataalam 3.3%.......kazi bado sana tu

  Hii ni kwa mujibu wa taarifa za taasisi ya elimu ya juu, kwamba Tanzania yote huko wataalam ni asilimia 3.3% ya mamilioni ya raia wake......shughuli bado sana kuelekea kwenye uchumi wa viwanda unaohitaji ndani kuwe na wataalam wa kutosha kupokea ujuzi wa wageni. ==============================...
 3. MK254

  Nataka kuhamia Kenya

  Aje tu kama Bongo hapakaliki, japo hajatoa maelezo ya kutosha, kwamba bajeti yake shilingi ngapi, maana huku inategemea una hela kiasi gani na umejiandaa kufanya nini, fursa zipo kibao, bidii yako tu.
 4. MK254

  Uingereza wataka Uhuru Kenyatta apimwe Corona kabla ya kuingia

  Bado hamjakoma neno mabeberu.....
 5. MK254

  Meli ya kisasa ya kivita iliyotengenezewa Urusi yatia nanga Kenya kwa mazoezi ya pamoja na KDF....sema nyoko uone

  Hehehe!! Sisi hatujali maugomvi yao huko, kila mmoja aje tujifunze kitu kwake, wanatunishiana misuli sana hawa....huyu akifanya mwenzake naye anataka aje afanye zaidi.
 6. MK254

  Meli ya kisasa ya kivita iliyotengenezewa Urusi yatia nanga Kenya kwa mazoezi ya pamoja na KDF....sema nyoko uone

  Jana kuna mwingine katia kiberiti, utakua uko nyuma na taarifa za nchi yako, kwanza anasema alijua jamaa yuko ndani, bahati kumbe hakua nyumbani, halaafu mademu kwenye social media wamechangamkia balaa, wanasifia na kusema ndio dawa.
 7. MK254

  Meli ya kisasa ya kivita iliyotengenezewa Urusi yatia nanga Kenya kwa mazoezi ya pamoja na KDF....sema nyoko uone

  Ingia kwenye Youtube, mademu wa Kibongo sijui wameingiwa na pepo gani, ni mwendo wa petroli na kiberiti.....
 8. MK254

  Meli ya kisasa ya kivita iliyotengenezewa Urusi yatia nanga Kenya kwa mazoezi ya pamoja na KDF....sema nyoko uone

  Hampo kwenye vyuo 20 bora Afrika wakati sisi kainchi kadogo tupo Hampo kwenye chumi 10 bora Afrika wakati sisi kainchi kadogo tupo Hampo kwenye chochote zaidi ya ushirikina, hapo niliona mpo kwenye ndani ya mataifa kumi yanayoongoza kwenye ushirikina....hehehe Na ndio maana mumejaza mabango ya...
 9. MK254

  Meli ya kisasa ya kivita iliyotengenezewa Urusi yatia nanga Kenya kwa mazoezi ya pamoja na KDF....sema nyoko uone

  Mengi tu, uliza Watz ambao wamesomea Kenya na kurudi Tanzania wanavyosakwa kwenye soko la ajira, hebu check hili bango hapa
 10. MK254

  Meli ya kisasa ya kivita iliyotengenezewa Urusi yatia nanga Kenya kwa mazoezi ya pamoja na KDF....sema nyoko uone

  Hehehe!! Mishipa imekutoka hadi kichwani ila ndio ukweli wenyewe, sisi ndio baba lao ukanda huu, nyie mlishaangukia pua, hamna ushawishi wowote kidiplomasia, kainchi ketu kadogo kamewazidi kiuchumi mara mbili, tunawazidi kijeshi, kielimu na kila kitu. Leo mtatokwa povu kama zote, mjikusanye na...
 11. MK254

  Meli ya kisasa ya kivita iliyotengenezewa Urusi yatia nanga Kenya kwa mazoezi ya pamoja na KDF....sema nyoko uone

  Soma jibu langu hapo juu kwa mwenzako uatjifunza kitu....
 12. MK254

  Meli ya kisasa ya kivita iliyotengenezewa Urusi yatia nanga Kenya kwa mazoezi ya pamoja na KDF....sema nyoko uone

  Sisi hatuingii kwenye vita vya kijinga kama mlivyofanya Uganda miaka ile mpaka leo hamjapata nafuu kutokana na umaskini uliowakumba. Ethiopia tunaishi nao poa maana soko lao tunalihitaji kwa sana tu, idadi yao ni zaidi ya watu milioni mia, tayari wameruhusu makampuni yetu yameingiza vichwa humo...
 13. MK254

  Meli ya kisasa ya kivita iliyotengenezewa Urusi yatia nanga Kenya kwa mazoezi ya pamoja na KDF....sema nyoko uone

  Jiwe gizani wa kwanza kung'aka.....na mtakoma. Halafu nini Bongo mbona mnatiwa viberiti na mademu wenu, shughuli za vitandani zimewashinda wanaume wa Dar.
 14. MK254

  Meli ya kisasa ya kivita iliyotengenezewa Urusi yatia nanga Kenya kwa mazoezi ya pamoja na KDF....sema nyoko uone

  Wanajeshi kutokea mataifa kadhaa (USA, India, UK n.k.) kuhusika kwenye haya mazoezi ya pamoja.....mwendo wa kutunisha misuli kuonyesha ubabe au kwa kifupi nani baba lao.....jifanye kama unajikuna tuone. Brahmos cruise missile INS Talwar ship lands at the coast in Mombasa on Tuesday, July 27...
Top Bottom