Recent content by mk007

  1. M

    Maafisa misitu 2 wahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini ya shilingi laki tano kila mmoja kwa Ruswa ya milioni 8

    Hakimu angekua na lengo la kuwasaidia wangeshinda kesi. Kwa hukumi hiyo kinachpfuata ni kufukuzwa kazi, kwa mantiki hiyo hakimi hajawaokoa labda wakate rufaa then washinde.
  2. M

    Dkt. Slaa yuko wapi?

    Unataka akiongea useme ana ubaguzi. Amekaa kimya unataka ujue yuko wapi
  3. M

    Mhashamu Prosper Balthazar Lyimo, Askofu wa Jimbo Katoliki la Bariadi, akiwa pamoja na kaka zake ambao pia ni mapadre

    Huo ni udhaifu wa binadamu husika. Hata huko kwenye imani nyingine ambazo viongozi wanaoa napo wapo wenye wanawake nje ya ndoa zao na hata watoto wa nje
  4. M

    Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

    Atapaka vix aisee, hata ingekua wewe unaachaje bikra 72 mwamba lazima apake vix. Jumlisha mito ya pombe sasa hivi anagida tu.
  5. M

    Unachokitafuta kwa mchepuko,kuna mwanaume anakipata kwa mkeo

    Ndio, hivyo hakuna jipya chini ya jua
  6. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Weka 10,000,000 upate milioni 50,000,000 uache kusumbu watu.
  7. M

    Je dini zitaeweza kuhimili maendeleo ya teknolojia?

    Kwani kuna sehemu Dini inabadilika ? Wanaobadirika ni watu.
  8. M

    Je dini zitaeweza kuhimili maendeleo ya teknolojia?

    Utabadirika tu watu kupitia quran hiyo hiyo watapinda humo humo ni swala la muda tu. Wameanza akina Dr. Sule kutangaza ulimwengu wa majini wakiwa wanajifichia kwenye uislamu wataendelea kuongezeka wengine pia.
  9. M

    Jinsi Mfalme Constatine wa Rumi na Wanafilosofia Walivyounda Imani Mpya ya Kikristo

    Umenena vema sana kiongozi,japo wahusika hawataki kuliongelea hilo.
  10. M

    Jinsi Mfalme Constatine wa Rumi na Wanafilosofia Walivyounda Imani Mpya ya Kikristo

    Haya andika na utafiti wa Mudy boy kuoa kibinti ambacho hakijabalehe.
Back
Top Bottom