Recent content by mjumbe1

  1. mjumbe1

    JamiiForums Tanzania TRA waangalie pia kanisa Katoliki na mengine ambayo ni tajiri sana baada ya Kakobe

    Acha kupotosha wewe hajasema ana utajiri kuliko serikali alisema yeye ana pesa nyingi kuliko serikali... Mbona mnarukaruka
  2. mjumbe1

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kushtakiwa Mahakama ya Kimataifa kutokana na mahojiano aliyofanya na BBC

    Kwani hayupo tena Nairobi? Niko nyuma basi
  3. mjumbe1

    JamiiForums Tanzania Kingunge: CCM ni chama changu... hakiwezi kuwa kinyume changu!

    With this kind of thinking we still have a very long journey to the "Promised Land"
  4. mjumbe1

    JamiiForums Tanzania Kingunge: CCM ni chama changu... hakiwezi kuwa kinyume changu!

    Hii nchi tumerogwa na aliyeturoga kafa...Wenzetu wanadiscuss vitu vya maana sisi tunatumia muda kujadili vitu havina tija yoyote
  5. mjumbe1

    JamiiForums Tanzania Kakobe: Ninaposema mimi ni Tajiri namaanisha tajiri wa Kiroho

    Aache kurukaruka kama kuku anayetaka kukata roho...Yeye alisema ana hela nyingi kuliko serikali.. Hajasema yeye ni tajiri kuliko serikali... Vitu viwili tofauti kabisa
  6. mjumbe1

    JamiiForums Tanzania Viongozi watano wabovu Tanzania 2017

    Freeman Mbowe
  7. mjumbe1

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Chemba anakotokea Juma Nkamia aliyetaka Magufuli aongezewe muda

    Swali la watu waelewa
  8. mjumbe1

    JamiiForums Tanzania Hivi jukumu la kupata mtoto ni uamuzi wa nani?

    Wewe utakuwa unatokea Dar... Yaani Dareda
  9. mjumbe1

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo wanawake wanavyojiharibia bahati ya kuolewa

    Au unakuta ...anakuandikia "K" akimaanisha Okay... Ovyo sana
  10. mjumbe1

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo wanawake wanavyojiharibia bahati ya kuolewa

    Nachukia sana huu ujinga wa aina hii
  11. mjumbe1

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Acheni kutuwekea mapicha ya ajabu humu... Unahamasisha nini sasa... Watanzania siyo wajinga vile hasa siku hizi uwadanganye kirahisi hivyo...
  12. mjumbe1

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa ni lini utarudi kuendeleza vita dhidi ya majizi ukimsaidia Magufuli?

    Asharudi tayari
  13. mjumbe1

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hussein Mwinyi ndie kiongozi mstaarabu kuliko yeyote Tanzania

    Huyu MH hata mimi ntampa kura yangu ya Urais
Back
Top Bottom