Dr. Slaa ni lini utarudi kuendeleza vita dhidi ya majizi ukimsaidia Magufuli?

kanone

JF-Expert Member
Oct 10, 2013
6,188
1,576
Katika maisha yangu hakuna MTU ninayemuheshimu kama yule anayeweza kusimamia falsafa ya kile anachokiamini adi kufa kwake,
Hata yesu alijaribiwa na shetani pamoja na njaa aliyokuwa nayo lkn hakumsaliti mungu

Dr,slaa
Tulikujua kama mpambaji na MTU hasiyependa rushwa na kuchukia majizi ya nchi ,
Pamoja na kuwa hauko tena kwenye siasa lkn taifa linakuitaji katika kipindi hiki ambacho taifa chini ya jemedari wetu magufuli liko kwenye mapambano makali zidi ya majambazi ya nchi hii
Nakuomba hata kwa kuendeleza mbegu ya kuchukia ufisadi kwa kutumia njia nyingine kama VYOMBO vya habari au kipindi maarumu kwenye TV na radio
,
Dr tunakuitaji ukamsaidie jemedari wetu madhubuti magufuli ZIDI ya ufisadi,
 
ccm walimkatia burungutu la madollar yuko kwenye nyumba za wakimbizi hapa toronto canada.

swissme
 
Katika maisha yangu hakuna MTU ninayemuheshimu kama yule anayeweza kusimamia falsafa ya kile anachokiamini adi kufa kwake,
Hata yesu alijaribiwa na shetani pamoja na njaa aliyokuwa nayo lkn hakumsaliti mungu

Dr,slaa
Tulikujua kama mpambaji na MTU hasiyependa rushwa na kuchukia majizi ya nchi ,
Pamoja na kuwa hauko tena kwenye siasa lkn taifa linakuitaji katika kipindi hiki ambacho taifa chini ya jemedari wetu magufuli liko kwenye mapambano makali zidi ya majambazi ya nchi hii
Nakuomba hata kwa kuendeleza mbegu ya kuchukia ufisadi kwa kutumia njia nyingine kama VYOMBO vya habari au kipindi maarumu kwenye TV na radio
,
Dr tunakuitaji ukamsaidie jemedari wetu madhubuti magufuli ZIDI ya ufisadi,
Ccm imejaa majizi
 
==ZIDI==???kweli wewe ni mushuti
 
Yeye mwenyewe sasa hivi hana nguvu ya kutetea majizi maana yeye pia jizi, dume zima unahongwa hela ili usaliti chama? Bora mwanaume anaevunja na kuiba kuliko anae hongwa, na huko amesogelea kwa cameroon za ccm zikiisha atapewa za za wanaume wa kikanada.
 
Kwanini usiulize atarudi lini kufanya kazi ya mungu?maana career yake ilianzia huko
Mkuu ana uhakika na alicho kisema maana anajua jinsi walivyokwisha mnunua tayari kwa kusaliti upinzani nafikiri alikula kiapo cha kutokuwa na huruma kwa upinzani
 
Kwani nyie Ccm wenyewe mmeshindwa kuyashughulikia majizi na majambazi yaliyoko ndani ya chama chenu?
 
Kwanza atuambie wale marafiki waliomsaidia kulipia ile comferençe, zama za kudanganyana zilishapita,
 
Katika maisha yangu hakuna MTU ninayemuheshimu kama yule anayeweza kusimamia falsafa ya kile anachokiamini adi kufa kwake,
Hata yesu alijaribiwa na shetani pamoja na njaa aliyokuwa nayo lkn hakumsaliti mungu

Dr,slaa
Tulikujua kama mpambaji na MTU hasiyependa rushwa na kuchukia majizi ya nchi ,
Pamoja na kuwa hauko tena kwenye siasa lkn taifa linakuitaji katika kipindi hiki ambacho taifa chini ya jemedari wetu magufuli liko kwenye mapambano makali zidi ya majambazi ya nchi hii
Nakuomba hata kwa kuendeleza mbegu ya kuchukia ufisadi kwa kutumia njia nyingine kama VYOMBO vya habari au kipindi maarumu kwenye TV na radio
,
Dr tunakuitaji ukamsaidie jemedari wetu madhubuti magufuli ZIDI ya ufisadi,

Slaa aliwashika pabaya ufipa....yani cdm na makapi take pia ni jipu la kuleee kunako siri
 
kuna watu wakisikia Dr. Slaa anarudi wanaanza kutetemeka maana kile alichokiepuka ndicho kinachotokea mara ya mwisho alipoongea kuna mambo alisema ameweka akiba bado tunasubiri ile akiba
 
Back
Top Bottom