Kwaheri Hans hii ndio Tanzania, Kichwa cha mwendawazimu, wamekuletea kocha bila kuvunja mkataba na wewe, ni dharau kubwa, ukienda kwenu ulaya kawaambie kwanini mpira wetu haukui, kocha aliyeaminiwa na taifa kama kocha mkuu leo amekubali kuwa kocha msaidizi wa Yanga,
Hans ukienda Ulaya kawaambie...