Recent content by Mjukuu wa Majaliwa K

  1. M

    JamiiForums Tanzania HESLB: Hatujapunguza mikopo ya Wanafunzi. Tunatoa fedha za kujikimu kulingana na siku za masomo

    Bajeti ilikwisha pita asa izo ela zinazobaki wanataka kuzipeleka wapi...........Ingekuwa mbele tungewaburuza mahakamani
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC: Hakutakuwa na punguzo au nyongeza ya majimbo

    Tatizo connection ndugu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Malawi: Rais Chakwera akosolewa kwa kuteua ndugu kwenye Baraza la Mawaziri

    Si Bora Trump kampa kazi mwanae uyu kawapa kazi familia yake na marafiki zake kwaiyo ni serikali ya familia
  4. M

    JamiiForums Tanzania Malawi: Rais Chakwera akosolewa kwa kuteua ndugu kwenye Baraza la Mawaziri

    Jamani sijui sisi waafrika tuna akili gani......yani umeingia kwa nguvu ya umma alafu unaanza kufanya upuuzi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Walimu watatu washikiliwa na TAKUKURU Kagera kwa udanganyifu

    Wakati mwengine inakuaga ni roho mbaya tu ya wazazi unakuta mtoto wao aliacha shule zamani inafika kipindi Cha mtiani ndo wanampeleka au wamesikia jina lake linatumika na mtu wanaanza vurumai ilihali wote wakose
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Wakuu wa Wilaya 9 na Wakuu wa Mikoa, Thobias Andengenye awa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Mwanri astaafu

    Bora gondwe aje uku temeke maana uyu mkuu wa wilaya alieondoka alikuwa mbabaifu katika kufatilia shida za wilaya yake
  7. M

    JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya Home theatre Nyumbani

    dah yani singeli kwangu mm ni mziki ninaoupenda Sana kitu kinachonifurahisha katika mziki huu hakuna style moja ya kucheza vyovyote utakavyocheza ndo umoumo😋😋😋
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

    😂😂😂😂
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

    Ni kweli lakini ndoivo Sina Cha kunipeleka mkoani
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

    Sijawahi kutoka nje ya mkoa wa Dar esalaam ni mwaka wa 25 huu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msamaha: Mzee Kinana amuangukia Rais Magufuli kufuatia mazungumzo yake na makada wenzake wa CCM yaliyovuja

    Ata mwana mpotevu alirudi kwa baba yake ya nn shida zote wakati wafanyakazi wanakula na kusaza kwa baba
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lijualikali alia bungeni kwa unyanyasaji anaofanyiwa na Mbowe ajiuzulu ubunge amuomba Ndugai CCM wampokee

    Huo ndio udikteta wenyewe asiwaseme vibaya ccm kwa kukaaa madarakani miaka 50 wakati yeye anatamani awe mwenyekiti miaka yote........Kuna vijana wazuri tu Chadema kwann asiwafundishe jinsi ya kuongoza chama yeye akae pembeni........atujampa dola tukimpatia je c ndo atataka atawale milele
Back
Top Bottom