Naomba kutoa maeleezo kidogo hapo jinsi ya kujiunga au jinsi ya kuwa Wakala.....Kwa Vodacom unatakiwa uwe na TIN Namba,Leseni hai ya biashara na kitambulisho hai pia.....
Habarini waungwana,
Jana Jmos mie pamoja na Family yangu tulikwenda shambani ni katika kuitumia likizo yangu nikaona ni vema nikasaidie kazi za Shamba kidogo..na pana umbali wa kama km 72 toka nyumbani mpaka Shambani tulikwenda kuvuna mbaazi,kutokana na umbali huo na Shamba lipo polini...
Haina haja ya kwenda mbaaaali......hapo Ubungo kuna kibadamo hotel, au Ubungo maziwa kuna Oppa hotel, au MIC hotel au Golden Palm Uchukui hata Tax....kwa Dodoma Cairo Lodge n.k
Duuh.....Dawa yake huyo we we kuwa bize zaid yake yaani Fanya yako zaidi tafuta maisha yako zaidi maana Wapo wengi hao na kuna wengine wanatamani wapate hata msg iliyo wrong number tu ikaangukia kwao lakini hawapati....3/4 ni wanawake ACHANA NAE
Daaah....mie naona nimeachwa mbali sana,ila swali langu ni kwamba je kuna uhusiano wa kichawi mtoto mdogo kulia usiku na kusema anaogopa mdudu na kukakamaza miguu kwamba kuna mdudu hasa vidole,je kuna mazingira ya uchawi hapo?
Kuweni basi na huduma ya kuchimba Kwa mkopo,maana kuna watu wanamashamba yako ktk maeneo ambayo hayana maji ya mito jiraniIla nadhani kama mtaingia mkataba na mhusika mtawavuna wengi sababu baada ya kuchimbiwa watajituma kuzalisha ili walipe Deni pia
Asante waungwana, nipo kwenye harakati za kujikita kwenye kilimo, Nina shamba lenye ukubwa wa ekari 16 huko boko nimejaribu kupanda mihogo heka 3 ila nyani wamevamia cjapata chochote,nikawaza nipande miti aina ya mitiki msimu huu wa mvua zijazo ila nikiwa kwenye folen za Ubungo nikanunua kitabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.