Recent content by Mjukuu wa Hassan-Juma

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameoa mwezi uliopita, lakini sasa anasema mke wake anakojoa hata mara nne muda wa usiku tu

    Awahi hospitali, ni miongoni mwa dalili za kiwango cha sukari kuzidi mwilini! Na hizo ni harakati za mwili kupunguza kiwango hicho cha sukari. Aache kwa muda kutumia juisi za matunda ya aina zote baada ya wiki ataanza kuona tofauti...!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Aliyebuni hizi engine za forester XT aishi milele huko aliko

    Lakini dereva si yuko fresh tu?!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kimenuka! leo hii Wa-south africa wafanya Msako wa kutafuta raia wa kigeni wasio na vibali, Mtanzania apigwa

    Madhara ya kurithi maendeleo bila kuwa sehemu ya mchakato husika! Unabaki na personality yako dhaifu na chuki kwa watakaoziona fursa pembeni yako na kuzitumia!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa kufuli umekaa zaidi kisaikolojia kuliko uhalisia

    Sisi tutafunga kwa makufuli wewe acha mlango wazi mkuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Familia nzima tumefeli kila ndoto imegeuka alinacha, hatuna muelekeo kabisa

    Mahusiano yenu na mama yenu yapoje?!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya wananchi kiuchumi ni mbaya sana kupitiliza kuelekea Uchaguzi wa 2025

    Ukiona wananchi wengi hawakerekwi nasi ujue hali sio ngumu sanaaa kama imavyonadiwa na wanasiasa! Changamoto zipo na ofcourse wapo wenye hali ngumu kabisa lakini walau watu wakijichaganya wanarudi jioni wakiwana faraja kiasi!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayejitambua hawezi kuwa Mke wa Pili au mchepuko

    "Baada ya mumewe wa kwanza kufa?!"
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 DIRA 2050: Umuhimu wa kuboresha mfumo wa uchaguzi na uteuzi wa viongozi wetu ni hitaji la lazima

    Dira ya taifa kuelekea mwaka 2050 ni hatua muhimu sana itakayotoa taswira na muelekeo wa taifa kwa miaka takriban 25 ijayo. Umuhimu wa kuwa na malengo ya muda mrefu ya kitaifa ni nafasi nzuri ya kuiandaa kesho ya taifa kwenye nyanja tofauti ikiwemo kiuchumi, kielimu na hata kimaadili na...
Back
Top Bottom